Jamaa anaitwa Mohamed ameibiwa watoto 2 saa 12 jioni na mfanyakazi wa ndani Wilaya ya Temeke

Jamaa anaitwa Mohamed ameibiwa watoto 2 saa 12 jioni na mfanyakazi wa ndani Wilaya ya Temeke

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
1736880104297.png

1736880130483.png

1736880151056.png

1736880190645.png

Atakaye waona ampigie simu Mr Mohamed kwa namba hii hapa 0744555574.

BREAKING NEWS: Alhamdulillahi
Watoto Wamepatikana Wapo Polisi Mama yao ameshakwenda kuwaona wanapelekwa hospitali kupimwa afya zao.

Ukiwapata utuambie mkuu

Inaelekea unaware wanao kwa maadili sana kwa maana wamevaa kiheshima.

Je mkeo ana jeshima..wee mwenyewe unazingatia?? Tuanzie hapo..

Watoto warejee kambini kuna maajab mengi sana humu
 
Duh wapatikane wazima

Muwe mnawalipa vizuri wafanyakazi wa ndani msiwanyanyase
Kama alivoeleza uyo baba wa watoto anasema mdada amekaa naye siku 3 tu, akatoka na watoto akawaambia anaenda nao dukani, from there akazima simu, hata waliomuunganisha kumpata huyo binti wa kazi anasema wote hawapatikani, kwaivo anahisi ni kama ndo mpango wake ulikuwa
 
Kumbe duh ina uzunisha sana
 
Back
Top Bottom