Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Umeona wapi mpenzi wangu wa zamani?Nimeiona mahali leo,
Very bad news.
Pole sana ndugu, Mwenyezi Mungu akutie nguvu ni kipindi kigumu unapitia
hivi sasa duniani,Kwanini watoto huibwa?
Police tupo huku piaKatoe taarifa police
Kama alivoeleza uyo baba wa watoto anasema mdada amekaa naye siku 3 tu, akatoka na watoto akawaambia anaenda nao dukani, from there akazima simu, hata waliomuunganisha kumpata huyo binti wa kazi anasema wote hawapatikani, kwaivo anahisi ni kama ndo mpango wake ulikuwaDuh wapatikane wazima
Muwe mnawalipa vizuri wafanyakazi wa ndani msiwanyanyase
Ana siku mbili kwenye hiyo nyumbaDuh wapatikane wazima
Muwe mnawalipa vizuri wafanyakazi wa ndani msiwanyanyase
Kumbe duh ina uzunisha sanaKama alivoeleza uyo baba wa watoto anasema mdada amekaa naye siku 3 tu, akatoka na watoto akawaambia anaenda nao dukani, from there akazima simu, hata waliomuunganisha kumpata huyo binti wa kazi anasema wote hawapatikani, kwaivo anahisi ni kama ndo mpango wake ulikuwa
Mungu ni mwema sana, mama yao anasema wamewapata wapiWameshapatikana jamani