Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Hao ma agent unawaamini vipi? Ni ujinga wa kiwango cha SGR kuletewa mfanyakazi wa ndani na mtu usiyemfahamu kisa tu mnawasiliana kwenye simuSiku hizi wadada wa kazi wanapatikana kwa agents wa huko vijijini wanwatafuta mabinti yaan kazi yako kumpa sifa za binti unayemtaka tu, unatuma nauli na posho yake afu anakutumia binti.
Acha tuu sasa ndio hivyo tufanyejeHao ma agent unawaamini vipi? Ni ujinga wa kiwango cha SGR kuletewa mfanyakazi wa ndani na mtu usiyemfahamu kisa tu mnawasiliana kwenye simu
Umeshajua wamepatikanaje hao watoto?What if kama imezima chaji? Tunazijua vizuri simu za wafanyakaz wa ndani zinavyokuwaga? Tena ana siku 3 kutoka kijijini na mshahara usikute anamlipa elfu 30 Kwa mwezi
Kuna watu hawana watoto, so Wana enda kuuziwa.Kwanini watoto huibwa?
Una familia? Mkeo ana majukumu ya utafutaji tofauti na kukaa nyumbani? Ni mara ngapi umekosa binti ukaenda mwenyewe kutafuta kijijini na ukampata ndani ya muda ulioupanga wewe? Yapo mambo mengi yanawafanya watu inabidi wanawaamini tu mabinti maana nao ni binadamu kama watu wengine ni basi tu inatokea tabia, malezi, yanatofautiana ila wapo mabinti wema kabisaHao ma agent unawaamini vipi? Ni ujinga wa kiwango cha SGR kuletewa mfanyakazi wa ndani na mtu usiyemfahamu kisa tu mnawasiliana kwenye simu
Suala sio mtafanyaje Bali mnatakiwa kuwa makini hasa wanawake maana ndio wadau wakubwa, mfanyakazi wa ndani ni mtu muhimu sana unatakiwa umjue angalau background ya familia anayotokea funga hata safari nenda Kwa watu wake huyo ni mtu utakayemuavhia nyumba, watoto wako na kuchukua dhamani ya chakula pia kwahiyo kama humjui vyema basi unabet Maisha ya familia Yako.Acha tuu sasa ndio hivyo tufanyeje
Huyo binti alikuwa na siku 2 tu ya tatu ndo akatoka na watoto akidanganya anafika nao dukani ndio kutokomea na watotoMuache kulipa hawa mabinti TSH 60000/month, wakichoka utumwa huwa wanakuwa hatari sana hawa.
Kumbuka house girl anakaa na watoto wako nyumbani.
Endelea kuwaamini hao ma agent wako siku Yako inakuja utasaga meno.Yapo mambo mengi yanawafanya watu inabidi wanawaamini tu mabinti maana nao ni binadamu kama watu wengine
SanaDuh kazi ipo dunia ina mamb
Hapana, nieleze.Umeshajua wamepatikanaje hao watoto?
Kumjua mtu na familia sio kuujua moyo wake na dhamira, binti unakuta umemchukua kwa wazazi wake vizuri unawajua ila tayari yeye alishajifunza mengi ya kidunia ambayo hata mama ake mzazi hajui, anashawishika anafanya majanga na kwao harudiSuala sio mtafanyaje Bali mnatakiwa kuwa makini hasa wanawake maana ndio wadau wakubwa, mfanyakazi wa ndani ni mtu muhimu sana unatakiwa umjue angalau background ya familia anayotokea funga hata safari nenda Kwa watu wake huyo ni mtu utakayemuavhia nyumba, watoto wako na kuchukua dhamani ya chakula pia kwahiyo kama humjui vyema basi unabet Maisha ya familia Yako.
Si Bora elfu 60 mm Kuna mmoja namjua anamlipa mtoto wa watu elfu 40 per monthMuache kulipa hawa mabinti TSH 60000/month, wakichoka utumwa huwa wanakuwa hatari sana hawa.
Kweli!kato nimeisoma na ile!Duh wapatikane wazima
Muwe mnawalipa vizuri wafanyakazi wa ndani msiwanyanyase
Kama familia yake na Binti mwenyewe umewafahamu vyema kamwe Binti hawez kukuletea shida otherwise uwe unamnyanyasa ktka kazi na malipo pia .Kumjua mtu na familia sio kuujua moyo wake na dhamira, binti unakuta umemchukua kwa wazazi wake vizuri unawajua ila tayari yeye alishajifunza mengi ya kidunia ambayo hata mama ake mzazi hajui, anashawishika anafanya majanga na kwao harudi
Umewahi kuwa na mabinti wa kazi?Kama familia yake na Binti mwenyewe umewafahamu vyema kamwe Binti hawez kukuletea shida otherwise uwe unamnyanyasa ktka kazi na malipo pia .
Mkuu omba tu uwe unapata mabinti wema kuijua family sio sababu kabisa hapo umerahisishiwa tu sehemu ya kuanzia likitokea lolote kama hili. Sasa hivi tupo mbele ya muda sana hata mdogo wake na mke wako usimwamini kwenye watoto wako unayepaswa kumuamini ni mama zenu na mke wako tu.Kama familia yake na Binti mwenyewe umewafahamu vyema kamwe Binti hawez kukuletea shida otherwise uwe unamnyanyasa ktka kazi na malipo pia .