Mr the dragon JF-Expert Member Joined Apr 14, 2017 Posts 1,937 Reaction score 3,718 Oct 28, 2017 #41 Patrick Jr2 said: Unatuongopea brother Click to expand... Ndo hivo mimi nilivyo huwa sijuti maisha yenyewe mafupi unaruhusuje kutumia mda wako kujuta. Ukikosea unapotezea unajipanga maisha yanaendelea.
Patrick Jr2 said: Unatuongopea brother Click to expand... Ndo hivo mimi nilivyo huwa sijuti maisha yenyewe mafupi unaruhusuje kutumia mda wako kujuta. Ukikosea unapotezea unajipanga maisha yanaendelea.
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Oct 28, 2017 #43 Ni kuacha kama ilivyo ni mapenzi yake
mbongo_halisi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 7,074 Reaction score 5,486 Oct 28, 2017 #44 Pacbig said: Kofia maalumu kwa matumizi ya kuendesha pikipiki ili kujikinga na majeraha kichwani endapo ikitokea ajali. Click to expand... Ni 'HELMET'....element si kofia ya kuvaa kichwani.
Pacbig said: Kofia maalumu kwa matumizi ya kuendesha pikipiki ili kujikinga na majeraha kichwani endapo ikitokea ajali. Click to expand... Ni 'HELMET'....element si kofia ya kuvaa kichwani.
mbongo_halisi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 7,074 Reaction score 5,486 Oct 28, 2017 #45 Duduvwili said: Mkuu huenda ni mkinga mwenzangu wa Mbalache huyu maana sisi hulitamka vivyo hivyo hilo neno Click to expand... HELMET, ELEMENT ni kitu kingine kabisa na hakivaliwi.
Duduvwili said: Mkuu huenda ni mkinga mwenzangu wa Mbalache huyu maana sisi hulitamka vivyo hivyo hilo neno Click to expand... HELMET, ELEMENT ni kitu kingine kabisa na hakivaliwi.
mbongo_halisi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 7,074 Reaction score 5,486 Oct 28, 2017 #46 scorpio me said: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwache mwenzio buana...jiongeze Click to expand... Sijamshika huyo jamaa, unataka nijiongeze kivipi? Mie siyo mwanamme wa Dar kutaka kujiongeza vitu visivyo na maana maishani mwangu.
scorpio me said: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwache mwenzio buana...jiongeze Click to expand... Sijamshika huyo jamaa, unataka nijiongeze kivipi? Mie siyo mwanamme wa Dar kutaka kujiongeza vitu visivyo na maana maishani mwangu.