Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 1,996
- 3,924
Ndo hivo mimi nilivyo huwa sijuti maisha yenyewe mafupi unaruhusuje kutumia mda wako kujuta.Unatuongopea brother
Ukikosea unapotezea unajipanga maisha yanaendelea.
Ndo hivo mimi nilivyo huwa sijuti maisha yenyewe mafupi unaruhusuje kutumia mda wako kujuta.Unatuongopea brother
Kofia maalumu kwa matumizi ya kuendesha pikipiki ili kujikinga na majeraha kichwani endapo ikitokea ajali.
Mkuu huenda ni mkinga mwenzangu wa Mbalache huyu maana sisi hulitamka vivyo hivyo hilo neno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwache mwenzio buana...jiongeze