Jamaa anayemfanya Agness Masogange aende Afrika ya Kusini na kuwa na jeuri mjini

Jamaa anayemfanya Agness Masogange aende Afrika ya Kusini na kuwa na jeuri mjini

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
agness_masogange.jpg
Huyu ni queen video maarufu sana hapa Bongo na amekuwa akihusishwa naskendo mabalimbali. zikizidi kumpa umaarufu wa kutisha. Hivi karibuni Agness masognge amesepa zake kwena South akiwaacha watu midomo wazi nini tena kinachompeleka huko na wakati alishakamatwa na Madawa.. katika chunguzi zetu tumegundua nyuma ya pazia kuna Jamaa huyu ambaye ndiye anayemfanya Masogange aishi mjini....​
katika chunguzi zetu tumegundua huyu ndiye muhiska anayemiliki mzigo huu... Picha hizi hapo chini.​
1965645_552601271522639_353012204_o.jpg
1939417_552601198189313_1184683001_o.jpg
 
namtafuta sana agness masogange awe business partner wangu..

nataka nianzishe biashara ya kusafiri safiri sana kwenda brazil nikiwa nae..

mwenye namba yake please naomba aniuzie kwa kiasi chochote cha pesa atakachotaka.
 
Nenda instagram amejaa tooop.. lol
 
nipe namba yake ya simu mamii,

au kama unajua skype username yake basi nimuvuzishie kwa pm..

Hshahaaaa..mi najua insta name yake tu unaeza mcheki kwa instamessage
 
namtafuta sana agness masogange awe business partner wangu..

nataka nianzishe biashara ya kusafiri safiri sana kwenda brazil nikiwa nae..

mwenye namba yake please naomba aniuzie kwa kiasi chochote cha pesa atakachotaka.

Namba yake ni 0713
 
We dina huyo ni kma soko la jumla unamega 2.walahi angekua na akili huo mzigo hpo nyuma ungemtoa ila cku hiziii 0655 kila kona zipo
 
Back
Top Bottom