Jamaa ashinda million 760 kwa mkeka mmoja

Meku tz

Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
37
Reaction score
18
Jamaa mmoja nchini Kenya sikukuu ya Christmas imemjia vizuri baada ya kushinda na mkeka wake kwenye kampuni ya Sport Pesa.

Jamaa mwenyewe jina lake ni Peter Byegon ni mfanyakazi wa hotel moja huko Nairobi ameshinda baada ya kupatia tabiri 16 kati ya 17 na kumpa ushindi wa kiasi cha Tsh 768,785,852.

Bwana Peter kama angepatia mechi zote 17 basi angeweza kushinda pesa kubwa ambayo iliyokua imewekwa na Sport Pesa kiasi cha Tsh 3,142,767,782.

Baada ya ushindi huo kampuni ya Sport Pesa ilimtumia gari la kifahari kwenda kumfata na mke wake ili waje kupokea check ya mpunga huo.

Alivyofanya mahojiano na waandishi wa habari bwana Peter alisema,“Nina furaha sana kushinda pesa hizi hasa wakati huu wa sikukuu, Nina mipango mikubwa lakini kwanza nitafanya shopping kidogo ya sikukuu”

kenya

Jamaa huyu aliwai kujaribu mara mbili na kushindwa zote kwenye SportPesa Mega Jackpot ambayo ilianzishwa mwezi wa 9. Kiasi hicho cha pesa kwenye Mega Jackpot huwa kinaongezeka kila wiki hadi msindi atakapotatikana.

Mara ya mwisho dereva bodaboda aliwahi kushinda kiasi cha Kenya sh milioni 12.
fa57cf755d3fdc3649fe93ef717a5a22.jpg
 
Akuchukue atese
 
Hiyo ni hela ya kenya au kama ni ya Kenya doh kama ni ya Kenya sio sikukuu tu itakayomuendea vizur na maisha yake yaliyobakia kama atachanga karata zake vizur
 
Mkubwa sio hela ya Kenya tu, hata ya hapa kwetu nikiipata mimi hapo nimetoboa, ingawa wengine wanajengea nyumba moja na hela imeisha, mimi hiyo kwangu ni pesa nyingi sana.
 
Hiyo ni hela ya kenya au kama ni ya Kenya doh kama ni ya Kenya sio sikukuu tu itakayomuendea vizur na maisha yake yaliyobakia kama atachanga karata zake vizur
Ni TZS
 
Back
Top Bottom