JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Hakimu Mkazi Mkuu, Ally Said Mkasiwa amemesema mtuhumiwa alitenda kosa hilo Aprili 4, 2020 alipoenda kumsalimia dada yake, ambapo alikuwa akilala sebuleni.
Siku ya tatu baada ya kuwasili, dada yake alipotoka kwenda kuchota maji asubuhi, mtuhumiwa akaingia chumbani na kutenda kosa hilo.
Chanzo: Azam TV