JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Huyo hapo,ndio mwenyewe??Huwezi ukatutupia picha ya mtuhumiwa kama unayo? Coz video inakataa kuplay [emoji848] na inawezekana ninamjua mtuhumiwa huyu coz majina haya sio mageni kwangu na kama sikosei huyu mtuhumiwa aliwahi kuishi iringa mjini na huko pawaga nako wananyumba, sasa ningemuona vizuri ningejua ni yeye
Yataisha lini haya?Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha na fidia ya Tsh. Milioni 10, Ramadhan Musa Chewa (34), Mkazi wa Pawaga, Iringa kwa kosa la kumuingilia kinyume na maumbile mtoto wa kike wa dada yake mwenye umri wa miaka 12.
Hakimu Mkazi Mkuu, Ally Said Mkasiwa amemesema mtuhumiwa alitenda kosa hilo Aprili 4, 2020 alipoenda kumsalimia dada yake, ambapo alikuwa akilala sebuleni.
Siku ya tatu baada ya kuwasili, dada yake alipotoka kwenda kuchota maji asubuhi, mtuhumiwa akaingia chumbani na kutenda kosa hilo.
Chanzo: Azam TV
Kwanini haya Mambo yanatokea San siku hizi?Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha na fidia ya Tsh. Milioni 10, Ramadhan Musa Chewa (34), Mkazi wa Pawaga, Iringa kwa kosa la kumuingilia kinyume na maumbile mtoto wa kike wa dada yake mwenye umri wa miaka 12.
Hakimu Mkazi Mkuu, Ally Said Mkasiwa amemesema mtuhumiwa alitenda kosa hilo Aprili 4, 2020 alipoenda kumsalimia dada yake, ambapo alikuwa akilala sebuleni.
Siku ya tatu baada ya kuwasili, dada yake alipotoka kwenda kuchota maji asubuhi, mtuhumiwa akaingia chumbani na kutenda kosa hilo.
Chanzo: Azam TV
Milioni 10 PawagaMahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha na fidia ya Tsh. Milioni 10, Ramadhan Musa Chewa (34), Mkazi wa Pawaga,
Namfahamu true alikuwa anakaa iringa mjini duuh nahisi ushirikina huu atakuwa anasaka pesa kimitindo ya kishirikina 🤔🤔🤔Huyo hapo,ndio mwenyewe??View attachment 2256565
Huyu mbwa alistahili adhabu ya kifiro cha foleni,malaya wamejaa anaenda kumtendea mtoto ushetani huo...Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha na fidia ya Tsh. Milioni 10, Ramadhan Musa Chewa (34), Mkazi wa Pawaga, Iringa kwa kosa la kumuingilia kinyume na maumbile mtoto wa kike wa dada yake mwenye umri wa miaka 12.
Hakimu Mkazi Mkuu, Ally Said Mkasiwa amemesema mtuhumiwa alitenda kosa hilo Aprili 4, 2020 alipoenda kumsalimia dada yake, ambapo alikuwa akilala sebuleni.
Siku ya tatu baada ya kuwasili, dada yake alipotoka kwenda kuchota maji asubuhi, mtuhumiwa akaingia chumbani na kutenda kosa hilo.
Chanzo: Azam TV
Yani ni zaidi ya shetani,adhabu yake angeoewa kisu akalie hastahili kuishiAngenyongwa tu anaenda kumaliza kodi zetu