Ashura9 JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 740 Reaction score 485 Feb 10, 2016 #1 Jamaa mmoja kaenda zake kuvua samaki, kufika ziwani akaandaa ndoana yake na akavua viatu na kuingiza miguu ziwani, ile kugusa maji tu samaki waanza kufa hovyo .. DAH hebu ione imekaaje hapa: https://www.facebook.com/
Jamaa mmoja kaenda zake kuvua samaki, kufika ziwani akaandaa ndoana yake na akavua viatu na kuingiza miguu ziwani, ile kugusa maji tu samaki waanza kufa hovyo .. DAH hebu ione imekaaje hapa: https://www.facebook.com/
joefrancy JF-Expert Member Joined Dec 11, 2014 Posts 792 Reaction score 550 Feb 10, 2016 #2 Teh teh teh miguu yangu ikiwa sipati tabu ya vitoeo nikuchovya tu majini.
Kirikou Wa Kwanza JF-Expert Member Joined May 24, 2013 Posts 3,564 Reaction score 1,991 Feb 10, 2016 #3 Tehe tehe tehe huyo Jamaa dah!