Jamaa aua samaki kwa harufu ya miguu yake...

Jamaa aua samaki kwa harufu ya miguu yake...

Ashura9

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
740
Reaction score
485
Jamaa mmoja kaenda zake kuvua samaki, kufika ziwani akaandaa ndoana yake na akavua viatu na kuingiza miguu ziwani, ile kugusa maji tu samaki waanza kufa hovyo .. DAH hebu ione imekaaje hapa:

 
Teh teh teh miguu yangu ikiwa sipati tabu ya vitoeo nikuchovya tu majini.
 
Back
Top Bottom