we babuk ushauri gani huu,mapepa ya kisomali wakati hata nchi hawana:lol::lol::lol:duh huyo hachelewi kujilipua ama kuteka hata humo nyumbani,mwambie ndg yako akipata mapepa ajikate kama anajipenda:smash:
we babuk ushauri gani huu,mapepa ya kisomali wakati hata nchi hawana:lol::lol::lol:
kwanini unakuwa na mawazo mabaya kwa mtoto asiye wako,akiwagaidi,shoga,jamabazi we unapatahasara gani.....kwa nini usiwaze namna utakavyowalea wakwako ili wasiwe magaidi......utachekwaaa:washing:
Namshangaa huyu jamaa huyu mwanamke na mwanae wako kwa rafiki yake yeye yanamhusu nini ? Kuna wabongo wengi tu wameoa wasomali ulaya/marekani wengine kupata sheria wengine kwa mapenzi ya kweli,Wasomali hupata sheria/uraia wa huko haraka kwa sababu ya matatizo huko kwao.Kama si wako kaa mbali naona hayakuhusu kapenda yeye kazalisha yeye wewe yanini kuhusika nayo???
namshangaa anatoa wapi mawazo mabaya kama hayo kwa mtoto wa mwenzake,hajui ulimi uliponza kichwa ndo hawa baadae wanashangaa nini kimetokea kumbe hajui imerudi kivingine,amuulize yule mchezaji Shekhani kajipatia karatasi zake kiulaini tu wakati kina Machupa na mwenzake Credo wanaoza huko hata kazi ya kufagia wanaitamani karatasi ziko wapi...Namshangaa huyu jamaa huyu mwanamke na mwanae wako kwa rafiki yake yeye yanamhusu nini ? Kuna wabongo wengi tu wameoa wasomali ulaya/marekani wengine kupata sheria wengine kwa mapenzi ya kweli,Wasomali hupata sheria/uraia wa huko haraka kwa sababu ya matatizo huko kwao.
Halafu aliposema mwenzake 'kabahatika' ina maana hata yeye alitaka lakini kakosa sasa haya maneno ni yamkosaji.namshangaa anatoa wapi mawazo mabaya kama hayo kwa mtoto wa mwenzake,hajui ulimi uliponza kichwa ndo hawa baadae wanashangaa nini kimetokea kumbe hajui imerudi kivingine,amuulize yule mchezaji Shekhani kajipatia karatasi zake kiulaini tu wakati kina Machupa na mwenzake Credo wanaoza huko hata kazi ya kufagia wanaitamani karatasi ziko wapi...
Halafu aliposema mwenzake 'kabahatika' ina maana hata yeye alitaka lakini kakosa sasa haya maneno ni yamkosaji.
Hatujakutana humu siku 2/3 hujambo rafiki.Umeona eehhh kama wivu fulani hivi
U guys le mi tel u one thing not every somali u c is pirate.even me is somali nd am married 2 tanzanian nd i got babie girl wid him.inamaana even ma babie girl is pirate.u guys let respect each other dont tok shit abt somalis
Hatujakutana humu siku 2/3 hujambo rafiki.
Salma hiyo lugha not reachable kwangu
Kuna jamaa yangu mtanzania amebahatika kupata mtoto wa kiume na mwanamke wa kisomali. Mtoto ni mzuri kwa kweli na anavutia, lakini kila nikimshika sijui kwa nini mawazo hayanitoki kufikiria ya kwamba nimembeba gaidi/ pirate wa kisomali. Si unajua tena mtoto wa nyoka ni nyoka.
Jamani hivi nifanyaje kuondokana na mawazo haya machafu? kwani kila msomali unayemjua ana tabia mbaya kama inavyotangazwa na vyombo vya habari?
Asanteni
Swadakta kabisa hapo alipo anatamani kukapata hako kapirate,unaona anavyokasifia kazuri....umenena vyema uporoto ubarikiwe sana siku yako ya leo....Halafu aliposema mwenzake 'kabahatika' ina maana hata yeye alitaka lakini kakosa sasa haya maneno ni yamkosaji.
am saying this pliz u guys especially payuka stop talking bad about somalis
Swadakta kabisa hapo alipo anatamani kukapata hako kapirate,unaona anavyokasifia kazuri....umenena vyema uporoto ubarikiwe sana siku yako ya leo....
usiniletee siasa zako za maji taka weye.......umbea tu baba zima tutakuvisha shanga muone kwanza:hatari:Acha kushadidia vitu usivyovijua, read btn lines utaelewa nilikuwa namaanisha nini? ninyi ndo mnosema chadema wanawatakukana ...mkiulizwa matusi hamna cha kujibu!