Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Si unajua mzee Ivuga baadhi ya mabinti wa uswazi wakiona wameweza kumcontrol mumewe ***** hadi kufikia steji ya kumvisha shanga hujisahau na kudhani basi anaweza kumvisha mwanaume yeyote shanga. I can tell u from what she has wrote, ni kwamba huyu mwanamke ni desparate!
Bi-sexual, what else do you wanna know abt me?
Nenda Kaishi kenya, sehemu inayoitwa mandera wapo wa kumwaga! wanachotaka ni jinsi ya kuwatafutia papers yeye ( mwanamke) na ndugu zake waje nchini kwako kuishi. Baada ya hapo maisha yanaendelea kama kawa, mkizaa katoto ambako katakuja ku-turn pirate au good citizen ni ninyi!!!
Nenda Kaishi kenya, sehemu inayoitwa mandera wapo wa kumwaga! wanachotaka ni jinsi ya kuwatafutia papers yeye ( mwanamke) na ndugu zake waje nchini kwako kuishi. Baada ya hapo maisha yanaendelea kama kawa, mkizaa katoto ambako katakuja ku-turn pirate au good citizen ni ninyi!!!
Asante mkuu nitajitahidi kuondoa mawazo haya machafu ni shetani tu anaingilia himaya yangu ya kufikiria!
yeye ana DNA za kishoga ndo maana akimtazama mtoto wa watu anajiona mwenyewe:lol:
u payuka stop lowering our dignity.who do u think u r?kweli hiyo jina inakufaa(payuka),unapayuka mambo ya uowonga tangu lini umefika mandera.somali r not that cheap u think.so stop that shit u r talking abt them.
Kama si wako kaa mbali naona hayakuhusu kapenda yeye kazalisha yeye wewe yanini kuhusika nayo???
mtoto asili yake ni baba so worry notKuna jamaa yangu mtanzania amebahatika kupata mtoto wa kiume na mwanamke wa kisomali. Mtoto ni mzuri kwa kweli na anavutia, lakini kila nikimshika sijui kwa nini mawazo hayanitoki kufikiria ya kwamba nimembeba gaidi/ pirate wa kisomali. Si unajua tena mtoto wa nyoka ni nyoka.
Jamani hivi nifanyaje kuondokana na mawazo haya machafu? kwani kila msomali unayemjua ana tabia mbaya kama inavyotangazwa na vyombo vya habari?
Asanteni
Kuna jamaa yangu mtanzania amebahatika kupata mtoto wa kiume na mwanamke wa kisomali. Mtoto ni mzuri kwa kweli na anavutia, lakini kila nikimshika sijui kwa nini mawazo hayanitoki kufikiria ya kwamba nimembeba gaidi/ pirate wa kisomali. Si unajua tena mtoto wa nyoka ni nyoka.
Jamani hivi nifanyaje kuondokana na mawazo haya machafu? kwani kila msomali unayemjua ana tabia mbaya kama inavyotangazwa na vyombo vya habari?
Asanteni
Afadhali umekuja Miss Pirate mwenyewe lol!malaika wa Mungu umeshamhukumu mara hii kabla hajakuwa. Ondoa kabisa mawazo hayo
namshangaa anatoa wapi mawazo mabaya kama hayo kwa mtoto wa mwenzake,hajui ulimi uliponza kichwa ndo hawa baadae wanashangaa nini kimetokea kumbe hajui imerudi kivingine,amuulize yule mchezaji Shekhani kajipatia karatasi zake kiulaini tu wakati kina Machupa na mwenzake Credo wanaoza huko hata kazi ya kufagia wanaitamani karatasi ziko wapi...
Ila mtoto wa ng'ombe ni Ndama,na wa Kuku ni Kifaranga na wa Ndege ni KindaKuna jamaa yangu mtanzania amebahatika kupata mtoto wa kiume na mwanamke wa kisomali. Mtoto ni mzuri kwa kweli na anavutia, lakini kila nikimshika sijui kwa nini mawazo hayanitoki kufikiria ya kwamba nimembeba gaidi/ pirate wa kisomali. Si unajua tena mtoto wa nyoka ni nyoka.
haya bwana ntaanza kufwatilia:lol::lol::lol:,kumbe kapata tayari namtakia kifyagio chema....Shost hata hujui basi bibie, Credo yupo Bongo siku nyingi na Machupa nae kazaa na msomali mtoto wa kike ana mwezi sasa na siku kadhaa!!!na kwa taarifa yako hawahitaji hizo kazi za kufagia,jaribu kufwatilia kabla ya kuandika humu!!