Jamaa kafunguka

ktk hili tuko pamoja mkuu,mimi sipendi wanawake wanene kabisa,napenda vimbayuwayu ambavyo vikiwekwa kwenye upepo mkali unaweza kusema vitabebwa.
mkuu mwembamba ukimkamata unaamshika pote,mnene lol unaweza kukamata mtu kiuno humalizi inaboa bhana au unakuta kamaliza kitanda kama umelala na faru
 
Mama watoto penny ni modo au bonge jaman?
yule bonge bhana,hata wema siku hizi mi namwona kajaa,modo kama Jocate bhana kamwili kazuri
 
Hakuna mtu anachunga status yake kama Diamond.
account ya Diamond insta cho hiyo.
ya diamond chin imeandikwa president..hiyo n account fake msipotoshe watu
siku hizi page za fb,instagram hata twitter kama mtu star kuna (tick)inawekwa pale karibu na jina kwamba ndo mtu halisi,so anafahamika kwamba ni msanii husika,vizuri kama mkafanya process za kuongea na majamaa wa mitandao.......(ushauri tu)
 
Mama watoto penny ni modo au bonge jaman?

atajijua mwenyewe kapata bonge halafu anatuletea dharau, ka penny kenyewe kabayaa bora hata wema japokuwa na yeye sasahivi kajiachia.
 
Jibu hoja hiyo mkuu.
Im keeping my eyes on the sparrow...
lol hapo no comment nikivuta picha mana naona mtoa mada ana ukweli kiasi but hao wengine heri waconfirm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…