Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
- Thread starter
- #21
mkuu mwembamba ukimkamata unaamshika pote,mnene lol unaweza kukamata mtu kiuno humalizi inaboa bhana au unakuta kamaliza kitanda kama umelala na faruktk hili tuko pamoja mkuu,mimi sipendi wanawake wanene kabisa,napenda vimbayuwayu ambavyo vikiwekwa kwenye upepo mkali unaweza kusema vitabebwa.