Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kesi hii kwenda polisi itakuwa shida hela ni ya kawaida..kama ningejitokeza pale wamemtoa ndani wangenipa palepale ila nimeona soo, saa hizi nafikiria ile ndio faida yenyeweNi haki yako. Nakushauri uende polisi kabisa ukafungue kesi
Nina kiduka changu maeneo ya Mbingu huku Morogoro Vijijini
Kuna jamaa jana kaja kakopa sumu ya panya nikampa akiahhidi kuwa angelipa asubuhi, kumbe kaenda kujiua, sasa nawaza ndugu zake wanilipe kwa kuwa ndio faida yenyewe aisee
Kwa huku Nilipo mara nyingi mzigo naufuata Ifakara sasa nawaza kama nitaachia haka kafaida kwa maana safari yangu ya hadi Ifakara kufuata mzigo ilikuwa kazi bure
Ushauri wadau
Kesi hii kwenda polisi itakuwa shida hela ni ya kawaida..kama ningejitokeza pale wamemtoa ndani wangenipa palepale ila nimeona soo, saa hizi nafikiria ile ndio faida yenyewe
mbngu sehem ganNina kiduka changu maeneo ya Mbingu huku Morogoro Vijijini
Kuna jamaa jana kaja kakopa sumu ya panya nikampa akiahhidi kuwa angelipa asubuhi, kumbe kaenda kujiua, sasa nawaza ndugu zake wanilipe kwa kuwa ndio faida yenyewe aisee
Kwa huku Nilipo mara nyingi mzigo naufuata Ifakara sasa nawaza kama nitaachia haka kafaida kwa maana safari yangu ya hadi Ifakara kufuata mzigo ilikuwa kazi bure
Ushauri wadau
Huyu mwambaa ni kama kazaliwa hivyo wakulia lia auuu kila napo ona picha yake ni klioo tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chai chungu hii[emoji24]View attachment 1664104
Nenda kwa ndugu zake ukawaambie unamdai marehemu.Kesi hii kwenda polisi itakuwa shida hela ni ya kawaida..kama ningejitokeza pale wamemtoa ndani wangenipa palepale ila nimeona soo, saa hizi nafikiria ile ndio faida yenyewe