Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa wewe pimbi sana hahahaha unatuuzia chaiNina kiduka changu maeneo ya Mbingu huku Morogoro Vijijini
Kuna jamaa jana kaja kakopa sumu ya panya nikampa akiahhidi kuwa angelipa asubuhi, kumbe kaenda kujiua, sasa nawaza ndugu zake wanilipe kwa kuwa ndio faida yenyewe aisee
Kwa huku Nilipo mara nyingi mzigo naufuata Ifakara sasa nawaza kama nitaachia haka kafaida kwa maana safari yangu ya hadi Ifakara kufuata mzigo ilikuwa kazi bure
Ushauri wadau
Halooo kamata hiro jambasiKwanza huyu jamaa ni wa kukamatwa kwa kosa la kuuza sumu bila kibali na kusababisha maafa, polisi tekeleza wajibu wako.
Una kibali cha kuiza hiyo dawa kutoka Wizara husika tuanzie hapo, kama Huna tuliaNina kiduka changu maeneo ya Mbingu huku Morogoro Vijijini