Jamaa kakopa sumu kaenda kujiua, nikawadai ndugu zake?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu[emoji119][emoji119]


Mkuu nakuja Mbingu nile ndizi nipo Luipa hapa.
 
watu bhnaaa πŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwanza huyu jamaa ni wa kukamatwa kwa kosa la kuuza sumu bila kibali na kusababisha maafa, polisi tekeleza wajibu wako.
 
Jamaa wewe pimbi sana hahahaha unatuuzia chai
 
Una kibali cha kuiza hiyo dawa kutoka Wizara husika tuanzie hapo, kama Huna tulia
 
Yani watu tunahangaikia mbingu kumbe ipo hapo Morogoro tu aisee
 
aisee umeua bila kukusidia utashtakiwa, alafu mkiwaga ifakara hamuijuag segerea mnaisikia tu kwene tv si ndio ? haya endelea mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…