Let me go down to ur level . " Uzi huu haukuhusu" ni mawazo yangu.Kwenye maisha Kila kiumbe kina njia zake za utafutaji usizione zako Ni Bora kuliko za mwenzako....
Maisha binafsi ya mtu huna haja kuyafatilia Ni uchawi kwa kifupi aliyoyafanya huyo jamaa Ni options zake HAZIKUHUSU.
mkuu unajishughulisha na kitu gani ili mkono uende kinywani??Dola mia tatu? Whats up?
Yani unalipa dola 300 ili ujifunze kucheza kamari?
Si bora tu uwe mganga wa kienyeji maana mtaji wa uganga ni usinga na kaniki.
Kama ni Majini tayari unayo ndo hayo hayo yaliyo shikilia akili yako kukufanya usione kama unatoa pesa yako kijifunza upuuzi.
Utayabadilishia tu matumizi. Utaingia nayo katika agano maalumu kwanza utayaamuru yakuondolee huo upuuzi kichwani halafu pili yakupe uwezo wa kuona na kutibu magonjwa na matatizo mbalimbali ya watu.
Nimesikitika sana
Vipi mkuu unataka kunipa dada ako nimuoe?mkuu unajishughulisha na kitu gani ili mkono uende kinywani??
mbona hatutoendelea kwa namna hii, i did ask you a question, i kindly need your answer mkuu.Vipi mkuu unataka kunipa dada ako nimuoe?
Am.joking kama ulivyo tania wewe but kama umeuliza swali hilo ukiwa unamaanisha then i am regretting to tell u that wewe ni kilaza.
unfortunately sina dada, njoo u*lewe labda (kidding)Vipi mkuu unataka kunipa dada ako nimuoe?
Am.joking kama ulivyo tania wewe but kama umeuliza swali hilo ukiwa unamaanisha then i am regretting to tell u that wewe ni kilaza.