LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Dola mia tatu? Whats up?
Yani unalipa dola 300 ili ujifunze kucheza kamari?
Si bora tu uwe mganga wa kienyeji maana mtaji wa uganga ni usinga na kaniki.
Kama ni Majini tayari unayo ndo hayo hayo yaliyo shikilia akili yako kukufanya usione kama unatoa pesa yako kijifunza upuuzi.
Utayabadilishia tu matumizi. Utaingia nayo katika agano maalumu kwanza utayaamuru yakuondolee huo upuuzi kichwani halafu pili yakupe uwezo wa kuona na kutibu magonjwa na matatizo mbalimbali ya watu.
Nimesikitika sana