Louis II
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 3,030
- 4,647
Kwa hakika sikupenda hii ishu niilete huku JF kwa sababu inahuzunisha tena kwa mtu mzima mwenye familia na majukumu chungu nzima halafu apoteze 3m (bonge la mtihani)...so nimeleta huku ili wale wenzetu mnaobeti sana mpate kujifunza namna ya kubeti kistaarabu.
Story kamili ipo hivi, Jamaa Yetu (sana) aliamua kujilipua kwa kuweka bets (mikeka) 10 @Sh.300,000 na yote ikaliwa juzi na jana. Hapa ninavyoandika jamaa ameshazimia zaidi ya mara tano na kuzinduka frequently😂😂😂😂. Nafikiria kumsaidia 500k Imsaidie katka kipindi hik Kigumu kwake ila nahisi pia ataichezea kamari...
NOTE: When You Bet, do it responsibly!! Acheni mihemko na tamaa.