Jamaa kaliwa Tshs. 3,000,000 kwenye kamari, yupo hoi kitandani

Louis II

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Posts
3,030
Reaction score
4,647
Kwa hakika sikupenda hii ishu niilete huku JF kwa sababu inahuzunisha tena kwa mtu mzima mwenye familia na majukumu chungu nzima halafu apoteze 3m (bonge la mtihani)...so nimeleta huku ili wale wenzetu mnaobeti sana mpate kujifunza namna ya kubeti kistaarabu.

Story kamili ipo hivi, Jamaa Yetu (sana) aliamua kujilipua kwa kuweka bets (mikeka) 10 @Sh.300,000 na yote ikaliwa juzi na jana. Hapa ninavyoandika jamaa ameshazimia zaidi ya mara tano na kuzinduka frequently😂😂😂😂. Nafikiria kumsaidia 500k Imsaidie katka kipindi hik Kigumu kwake ila nahisi pia ataichezea kamari...

NOTE: When You Bet, do it responsibly!! Acheni mihemko na tamaa.
 
Story kamili ipo hivi, Jamaa Yetu (sana) aliamua kujilipua kwa kuweka bets (mikeka) 10 @Sh.300,000 na yote ikaliwa juzi na jana. Hapa ninavyoandika jamaa ameshazimia zaidi ya mara tano na kuzinduka frequently[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nafikiria kumsaidia 500k Imsaidie katka kipindi hik Kigumu kwake ila nahisi pia ataichezea kamari...

NOTE: When You Bet, do it responsibly!! Acheni mihemko na tamaa.
[emoji23][emoji23][emoji23] muhindi sio mtu mzuri
 
Kwa hakika sikupenda hii ishu niilete huku JF kwa sababu inahuzunisha tena kwa mtu mzima mwenye familia na majukumu chungu nzima halafu apoteze 3m (bonge la mtihani)...so nimeleta huku ili wale wenzetu mnaobeti sana mpate kujifunza namna ya kubeti kistaarabu.

Story kamili ipo hivi, Jamaa Yetu (sana) aliamua kujilipua kwa kuweka bets (mikeka) 10 @Sh.300,000 na yote ikaliwa juzi na jana. Hapa ninavyoandika jamaa ameshazimia zaidi ya mara tano na kuzinduka frequently😂😂😂😂. Nafikiria kumsaidia 500k Imsaidie katka kipindi hik Kigumu kwake ila nahisi pia ataichezea kamari...

NOTE: When You Bet, do it responsibly!! Acheni mihemko na tamaa.
Nakushauri hata hiyo 500k usimpe kwasasa maana atashawishika kwenda kubet tena kwa matumain ya kurudisha ile 3m.
Ku bet ni pepo baya sana
Ahahahahahaha
 
Akizinduka tena atatafuta buku ili akabeti tena! ukisha ingia huko huwezi kutoka,sijawahi kubeti na wala sitokuja kubeti,ni maamuzi yangu tu na kila mtu ana maamuzi yake kwenye maisha yake,Mpe pole sana jamaa yako.
Hongera mkuu...Kubeti ni uteja pia watu hawajui tu.
 
Aliharibu kuweka mechi 10..
Hapo hio mil 3 angeigawa kwenye mafungu 6 akawa anabet mechi moja moja kwenye 1x bet..
Yeye anaweka mayai yote kwenye kapu moja
Ipo hivi, aliweka mikeka 10 kila mmoja Sh.300,000
 
Kuna dogo mmoja aliwah niambia "bro kwenye huu mchezo unapoingia tuu unanyang'anywa KIACHIO", hutokii...
 
Back
Top Bottom