Jamaa kaliwa Tshs. 3,000,000 kwenye kamari, yupo hoi kitandani

Mtu yeyote mwenye tamaa lzm atapeliwe au acheze kamari ukiwa huna tamaa haya yatakuepuka
 
Mluguru na "Kinge" wapi na wapi?😂😂hatoelewa somo.
 
Mtu yeyote mwenye tamaa lzm atapeliwe au acheze kamari ukiwa huna tamaa haya yatakuepuka
Gambling is of different kinds....may be you, also do it consciouslessly. Mark it.
 
Nipe maujanja asee ingawa sijawahi kuliwa hata laki na kanjibahi
subscribe jukwaa letu pendwa la wazee wa kubet hakika hutojuta......unatfuta odds 1.8 kwa options rahis mfano DC kwa team ya uhakika kuwin unaweka laki faida 80k....unapumzika mpka kesho

mchezo huu wanpiga hela wenye mitaji mikubwa
kumbuka tamaa mbya
the high risk the the return
 
Akizinduka tena atatafuta buku ili akabeti tena! ukisha ingia huko huwezi kutoka,sijawahi kubeti na wala sitokuja kubeti,ni maamuzi yangu tu na kila mtu ana maamuzi yake kwenye maisha yake,Mpe pole sana jamaa yako.
Mimi nilijaribu mkuu dah niwetala 500 nikaambiwa mkeka ukitiki napewa 4000 nikasema akuna noma dah mara Ufaransa akasululu mkeka na timu zingine nilishinda.
Dah Ufaransa wakanichania mkeka wangu rasmi mapaka leo nikipata jero nalala zangu mchana nanunua vocha ya TTCL usiku saa 6 nabeba GB2 huyo kuperuzi
 
Download Money Easy

Watu Wamelima Korosho Bado Wanapata Tabu Sana Sasa Uweke Millions 3 Ili Upate Nini
Hajaelewa Tu Awamu Hii Ya Tano
 
Mwambie aweke 50,000 tu kwenye account yake, anipe username yake na password nimuwekee mikeka, hadi kufika Jumapili pesa yake inarudi, sihitaji chochote kutoka kwake, only kumsaidia tu.
kwa hali ilivyo sasa inaonesha hana hata mia.
 
Mwambie aweke 50,000 tu kwenye account yake, anipe username yake na password nimuwekee mikeka, hadi kufika Jumapili pesa yake inarudi, sihitaji chochote kutoka kwake, only kumsaidia tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umewekee mikekaa...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…