Jamaa kaliwa Tshs. 3,000,000 kwenye kamari, yupo hoi kitandani

Kamari haimwachi mtu salama....kwanza kubeti ni haram lakini watu wabishi na hawataki kusikia...mimi simpi pole kwenye upuuzi kama huu ambao Mwenyezi Mungu anaupiga vita....
 
Haramu mbona nchi inaruhusu??..which is which??
 
Vitu haramu mimi naona ni kama madawa ya kulevya,uuzaji wa pembe za ndovu na vingine..labda useme tu kuwa baadhi ya dini haziruhusu kutokana na madhara yanayoweza kupatikana kwenye hii michezo
Hii nchi haina dini bwana...
 
Back
Top Bottom