DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
M-bet inahitaji uwe na roho ya paka kula pesa yao.Ni kama miujiza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
M-bet inahitaji uwe na roho ya paka kula pesa yao.Ni kama miujiza
kumbe 10@300,000 upo sahihi mpe pole jamaaalibeti mikeka 10 @ 3,000,000
ina maana kwa lugha ya kihisabati
mikeka 10 kwa kila mkeka sh 3,000,000
10@3,000,000(10×3,000,000) = Sh 30,000,000/= ina maana anadaiwa kiasi hiki.
co ulijuaje kuwa ukishaingia huwezi kutoka!!Akizinduka tena atatafuta buku ili akabeti tena! ukisha ingia huko huwezi kutoka,sijawahi kubeti na wala sitokuja kubeti,ni maamuzi yangu tu na kila mtu ana maamuzi yake kwenye maisha yake,Mpe pole sana jamaa yako.
mshahara wa sh. ngapi mkuu ...inawezeka 50k ndo unasema hivyoMbona mm nimeliwa mshahara mzima ila balida tu najua kanishikia tu
Kule nipo muda mrefusubscribe jukwaa letu pendwa la wazee wa kubet hakika hutojuta......unatfuta odds 1.8 kwa options rahis mfano DC kwa team ya uhakika kuwin unaweka laki faida 80k....unapumzika mpka kesho
mchezo huu wanpiga hela wenye mitaji mikubwa
kumbuka tamaa mbya
the high risk the the return
Wee jamaa kubet ni maisha yakoo...! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Binafsi;
Niliwahi kuliwa Million 6 kwenye mkeka mmoja na sikupata presha.
Nlicheza mechi 2 tu, nkawapa ushindi Bayern na PSG wote walikua wanacheza nyumbani.
Bayern alishinda ila PSG alitoa sare, mikeka ukachanika.
{Wazee wenzangu kule kwenye Uzi wa mikeka ni mashahidi kwenye hili}
Nilitulia, Nikarelax na Nikaendeleza Mapambano.
Baada ya wiki 1,
Namaanisha wiki ilofuata nilimpiga muhindi million 18.
Na mapambano Bado yanaendelea.
Duuh wewe ni zaidi ya Gambler......Binafsi;
Niliwahi kuliwa Million 6 kwenye mkeka mmoja na sikupata presha.
Nlicheza mechi 2 tu, nkawapa ushindi Bayern na PSG wote walikua wanacheza nyumbani.
Bayern alishinda ila PSG alitoa sare, mikeka ukachanika.
{Wazee wenzangu kule kwenye Uzi wa mikeka ni mashahidi kwenye hili}
Nilitulia, Nikarelax na Nikaendeleza Mapambano.
Baada ya wiki 1,
Namaanisha wiki ilofuata nilimpiga muhindi million 18.
Na mapambano Bado yanaendelea.
Huo uzi wa mkeka unaitwaje (sidhani kama anaifuatilia jf)Atakua ndo Anajifunza kubet huyo.
Ila Naimani hakijaharibika kitu, Binadamu tunajifunza kupitia makosa.
Ushaur wangu:
Mwambie apitie kwenye Uzi wetu wa Mikeka humu jf akapate faraja ya moyo.
Akaone jinsi watu wanavyobet kistaarabu.
Pia,
Atapata mengi ya kujifunza kuhusu mbinu mbalimbali za betting.
Kuchagua kampuni nzuri za kubeti.
Kuchagua Option nzur za kubeti
Kupata kuzijua Tabia(mienendo) za kujirudia rudia za timu mbali mbali ziwapo uwanjani ktk msimu husika.
Yote kwa yote,
Ni kujifunza Kubeti Kistaarabu
Huku ukivuna faida kidogo kidogo bila kuathiri mtaji wako, itakayosaidia kuepuka kufilisika ghafla kama ilvotokea kwa Ndugu yako huyo.
Toa sadaka kwangu mkuu hata hyo 300k ya juu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kweeli tunatofatiana, wakati mimi nilibet 30,000 nikala milioni 2.3 jumapili hii.
Hahaha,aiseee..mil 6 ilikuwa ni stake kaka?Binafsi;
Niliwahi kuliwa Million 6 kwenye mkeka mmoja na sikupata presha.
Nlicheza mechi 2 tu, nkawapa ushindi Bayern na PSG wote walikua wanacheza nyumbani.
Bayern alishinda ila PSG alitoa sare, mikeka ukachanika.
{Wazee wenzangu kule kwenye Uzi wa mikeka ni mashahidi kwenye hili}
Nilitulia, Nikarelax na Nikaendeleza Mapambano.
Baada ya wiki 1,
Namaanisha wiki ilofuata nilimpiga muhindi million 18.
Na mapambano Bado yanaendelea.
Sikuoni kwenye group letuM-bet inahitaji uwe na roho ya paka kula pesa yao.
Teh,yaan stake mil 6 halaf inaliwa unakuwa normalWee jamaa kubet ni maisha yakoo...! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AiseeBinafsi;
Niliwahi kuliwa Million 6 kwenye mkeka mmoja na sikupata presha.
Nlicheza mechi 2 tu, nkawapa ushindi Bayern na PSG wote walikua wanacheza nyumbani.
Bayern alishinda ila PSG alitoa sare, mikeka ukachanika.
{Wazee wenzangu kule kwenye Uzi wa mikeka ni mashahidi kwenye hili}
Nilitulia, Nikarelax na Nikaendeleza Mapambano.
Baada ya wiki 1,
Namaanisha wiki ilofuata nilimpiga muhindi million 18.
Na mapambano Bado yanaendelea.
Ishaliwa na mchepuko mkuu hahahahahahahToa sadaka kwangu mkuu hata hyo 300k ya juu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]