Jamaa kalizua anaomba msaada

Mbundenali

Member
Joined
Jan 9, 2012
Posts
64
Reaction score
37
Habari zenu wakubwa.
Kuna jamaa yangu amekuwa akiishi na binti mwanafunzi wa kidato cha kwanza tangu mwaka jana agost

sasa baada ya wazazi wake kugundua kuwa hajatulia,wakamwambia kuwa hawana mpango tena wa kumsomesha,akipata mume aolewe.

Jamaa hakufanya kosa,kweli kamuweka ndani binti. Na sasa ana mimba ya miezi minne.

Tatizo lililopo huyu jamaa aliyempa mimba ni mwalimu wake huyu binti na hadi sasa wazazi wa binti hawamfahamu jamaa. Kujitambulisha jamaa anaogopa kesi kwa kuwa yeye ni mwalimu.

Kwa kuwa kujitambulisha ni muhimu, je jamaa ataanzaje?

Naombeni ushauri wenu ili nami nimshauri jamaa
 

huyo ni wa kumfunga jela miaka thelathini kabisa... kumweka ndani huyo mtoto ni hatari sana
 
Naapa angekuwa binti yangu angenikoma,
ka ha ba la kiume kubwa hili,
ndiyo ualimu wenyewe huo eeeh,
na utakoma mwana wa haramu wewe.
(sorry nimechukia).
 
Acha kutembea na wanafunzi wewe!!!! Subiri miaka 30 wanaharakati wakuone ndio liwe fundisho kwako na walimu wenzako
 
Walimu wengine bwana!! Sasa utakubali kukaa na huyo binti Std 7 kweli? Upuu*zi kabisa!!
 
Watu wengine bwana ufujaji tuu, kama ni yeye wala asingekubali mwanawe kuharibiwa maisha, na hao wazazi wanasema aolewe basi ndio apewa huyo mwalimu atamfundisha yote.
 
Bado natafakari adhabu yenye kumfaa mwalimu huyu maana naona hata hiyo miaka 30 haimtoshi.
 
kwa vile kaamua mwenyewe kujilipua, mwache asubiri consequences ..
 
kubwa zima linambemenda mtoto wa mwenzio, umekosa madungaembe wenzio?
 
kweli kumekucha!!!! bira shaka huyo mwalimu naye ndo wale hajamaliza hata mwaka kazini!
 
mwalimu anafaa kuliwa tigo kabisa...yaani form one unampa mimba???au domo zege kashindwa kutongoza wakubwa wenzake?
 
mhh hii kesi tayari...,Hivi huyo mwalimu kama ni mdogo wake amefanyiwa hivyo atajiskiaje???kwanini watu wamezidi ubinafsi sana???Ushauri wangu kamripoti jamaa yako kwa wanaharakati then wakamfungulia jamaa yako kesi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…