Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wapendwa
Kuna mshikaji mmoja alienda kusoma chuo kikuu mda akiwa chuo kikuu mimi nilikuwa mdogo sana hivyo nilibaki namuona kama binadam mwenye akili sana maana nilikuwa sijui maana ya chuo kikuu
Kwa sasa nimekuwa nimejuwa maana ya chuo kikuu kuwa ni elimu ya juu
Sasa huyu jamaa juz katoka huko chuo kikuu ambako kakaa kama miaka 6 hivi lakin kinachoniacha hoi ni kuhusu story zake
Story zake ni kuhusu mademu tu mara sijui nimegonga sana waarabu sijui wahindi sijui nilikuwa na demu mzungu
Yaan ni upuuz tu ni nilipojua kuwa huyu jamaa ni mpuuz ni baada ya kuniuliza ivi BEIRA wewe kilevi chako ni kipi kati YA MADEMU NA POMBE? Hapo ndo nilipojuwa kuwa kumbe huyu ni hayawan nikakumbuka msemo wa bibi yangu wa damu kabisa FAIZA FOXY iv huko shule mlienda kusomea ujinga? Pia nikakumbuka kuna member mmoja alileta maada inayosema MAONGEZ YA VIJANA ASILIMIA TISIN NI PUMBA
Nikamwambia broo mimi hayo mambo kwangu ni upuuz sipigi mitungi wala mademu niko mimi kama mimi na maisha yangu siwez kujiingiza kwenye upupu kama huo yaan jamaa alizan na mimi ni mpuuz mpuuz wa kuanza kupiga soga kuhusu mademu
Mimi nilitegemea kwa kuwa katoka chuo atakuja na story za kuelewa kuhusu fursa au tupige mishe gan ili tupate pesa kumbe jamaa anakuja na story za mademu NIMEMUDHARAU SANA
Iv wanachuo wote wote huwa mko wapuuz puuz hivi, story za mademu muwe mnaongea huko chuo huku urain watu tuko bize na kusaka not
LONDON BOY