Jamaa kamaliza chuo kikuu lakin story zake ni mademu mademu tu

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa
Kuna mshikaji mmoja alienda kusoma chuo kikuu mda akiwa chuo kikuu mimi nilikuwa mdogo sana hivyo nilibaki namuona kama binadam mwenye akili sana maana nilikuwa sijui maana ya chuo kikuu

Kwa sasa nimekuwa nimejuwa maana ya chuo kikuu kuwa ni elimu ya juu

Sasa huyu jamaa juz katoka huko chuo kikuu ambako kakaa kama miaka 6 hivi lakin kinachoniacha hoi ni kuhusu story zake

Story zake ni kuhusu mademu tu mara sijui nimegonga sana waarabu sijui wahindi sijui nilikuwa na demu mzungu

Yaan ni upuuz tu ni nilipojua kuwa huyu jamaa ni mpuuz ni baada ya kuniuliza ivi BEIRA wewe kilevi chako ni kipi kati YA MADEMU NA POMBE? Hapo ndo nilipojuwa kuwa kumbe huyu ni hayawan nikakumbuka msemo wa bibi yangu wa damu kabisa FAIZA FOXY iv huko shule mlienda kusomea ujinga? Pia nikakumbuka kuna member mmoja alileta maada inayosema MAONGEZ YA VIJANA ASILIMIA TISIN NI PUMBA

Nikamwambia broo mimi hayo mambo kwangu ni upuuz sipigi mitungi wala mademu niko mimi kama mimi na maisha yangu siwez kujiingiza kwenye upupu kama huo yaan jamaa alizan na mimi ni mpuuz mpuuz wa kuanza kupiga soga kuhusu mademu

Mimi nilitegemea kwa kuwa katoka chuo atakuja na story za kuelewa kuhusu fursa au tupige mishe gan ili tupate pesa kumbe jamaa anakuja na story za mademu NIMEMUDHARAU SANA

Iv wanachuo wote wote huwa mko wapuuz puuz hivi, story za mademu muwe mnaongea huko chuo huku urain watu tuko bize na kusaka not

LONDON BOY
 
dgo usipanic sana.....huko chuoni ni kwa kawaida tu....mtu akiwa huko usihisi labda yupo mbinguni anapewa maujuzi ya kimaisha...noo.....ni binadamu mwenye tabia kama za watu wengine mtaani!!!!! ko usione tatzo yeye kupendelea kitu flan zaid....mana hata wew kuna vitu unavipenda sana mpka watu wanakushangaa lkn hawajawai kukufungulia uzi humu ndani.....ko relax bhaba nchini kote watu tumechanganyikiwa sa hv
 
Aman iwe nanyi wapendwa
Kuna mshikaji mmoja alienda kusoma chuo kikuu mda akiwa chuo kikuu mimi nilikuwa mdogo sana hivyo nilibaki namuona kama binadam mwenye akili sana maana nilikuwa sijui maana ya chuo kikuu

Kwa sasa nimekuwa nimejuwa maana ya chuo kikuu kuwa ni elimu ya juu

Sasa huyu jamaa juz katoka huko chuo kikuu ambako kakaa kama miaka 6 hivi lakin kinachoniacha hoi ni kuhusu story zake

Story zake ni kuhusu mademu tu mara sijui nimegonga sana waarabu sijui wahindi sijui nilikuwa na demu mzungu

Yaan ni upuuz tu ni nilipojua kuwa huyu jamaa ni mpuuz ni baada ya kuniuliza ivi BEIRA wewe kilevi chako ni kipi kati YA MADEMU NA POMBE? Hapo ndo nilipojuwa kuwa kumbe huyu ni hayawan nikakumbuka msemo wa bibi yangu wa damu kabisa FAIZA FOXY iv huko shule mlienda kusomea ujinga? Pia nikakumbuka kuna member mmoja alileta maada inayosema MAONGEZ YA VIJANA ASILIMIA TISIN NI PUMBA

Nikamwambia broo mimi hayo mambo kwangu ni upuuz sipigi mitungi wala mademu niko mimi kama mimi na maisha yangu siwez kujiingiza kwenye upupu kama huo yaan jamaa alizan na mimi ni mpuuz mpuuz wa kuanza kupiga soga kuhusu mademu

Mimi nilitegemea kwa kuwa katoka chuo atakuja na story za kuelewa kuhusu fursa au tupige mishe gan ili tupate pesa kumbe jamaa anakuja na story za mademu NIMEMUDHARAU SANA

Iv wanachuo wote wote huwa mko wapuuz puuz hivi, story za mademu muwe mnaongea huko chuo huku urain watu tuko bize na kusaka not

LONDON BOY
Hakuna utofauti kati ya stori zako na za huyo bwana
 
Ndege wafananao huruka kwa pamoja ...

Wewe na huyo jamaa yako mnafanana kila kitu kasoro tar..
 
Tanzania tunataka kupiga mawe bla kusota.
 
Elimu ya vyeti hiyo mdogo wangu.
Elimu ya maisha ipo mtaani tu.

Story za wasomi wanazijua wenyewe. Huyo bado ana akili za shuleni na pia bado ni mvulana.

Mwanaume huwezi kukaa na kujadili ke ngapi umepiga, huo ni ushamba kabisa.
 
Na cc unafanana na yy
Sion tofaut yake yan story
Zenu n kama mnatunga wote
 
Huyo jamaa yako kasoma ila hajaelimika,elimu yake imeshindwa kumkomboa.
 
Aman iwe nanyi wapendwa
Kuna mshikaji mmoja alienda kusoma chuo kikuu mda akiwa chuo kikuu mimi nilikuwa mdogo sana hivyo nilibaki namuona kama binadam mwenye akili sana maana nilikuwa sijui maana ya chuo kikuu

Kwa sasa nimekuwa nimejuwa maana ya chuo kikuu kuwa ni elimu ya juu

Sasa huyu jamaa juz katoka huko chuo kikuu ambako kakaa kama miaka 6 hivi lakin kinachoniacha hoi ni kuhusu story zake

Story zake ni kuhusu mademu tu mara sijui nimegonga sana waarabu sijui wahindi sijui nilikuwa na demu mzungu

Yaan ni upuuz tu ni nilipojua kuwa huyu jamaa ni mpuuz ni baada ya kuniuliza ivi BEIRA wewe kilevi chako ni kipi kati YA MADEMU NA POMBE? Hapo ndo nilipojuwa kuwa kumbe huyu ni hayawan nikakumbuka msemo wa bibi yangu wa damu kabisa FAIZA FOXY iv huko shule mlienda kusomea ujinga? Pia nikakumbuka kuna member mmoja alileta maada inayosema MAONGEZ YA VIJANA ASILIMIA TISIN NI PUMBA

Nikamwambia broo mimi hayo mambo kwangu ni upuuz sipigi mitungi wala mademu niko mimi kama mimi na maisha yangu siwez kujiingiza kwenye upupu kama huo yaan jamaa alizan na mimi ni mpuuz mpuuz wa kuanza kupiga soga kuhusu mademu

Mimi nilitegemea kwa kuwa katoka chuo atakuja na story za kuelewa kuhusu fursa au tupige mishe gan ili tupate pesa kumbe jamaa anakuja na story za mademu NIMEMUDHARAU SANA

Iv wanachuo wote wote huwa mko wapuuz puuz hivi, story za mademu muwe mnaongea huko chuo huku urain watu tuko bize na kusaka not

LONDON BOY

Halafu watu hivyo hata mademu wenyewe huwa hawawapati, mikwara tu!
 
Back
Top Bottom