Jamaa kampa talaka mke wake

Jamaa kampa talaka mke wake

Saad30

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2020
Posts
2,737
Reaction score
5,464
Habari wakuu.

Nilileta andiko hapa la mchizi wangu wa Italy kufuma meseji kwenye simu yake akichati kimahaba na mwanaume mwingine.

Jamaa baada ya kukaa kikao cha familia ili ipatikane suruhu lakini mchizi wangu alishindwa kuvumilia.

Siku ya Leo jumapili amempa TALAKA tatu yaani sio Mke wake Tena lakini wamefanikiwa kupata watoto wawili wa kiume.
 
Si watagawana mali? Hakuna shida
 
Watuletea umbea wa ya rafikia ako, ama ndo mpambe ubebaye na kumwaga ya wengine

Mshauri atafte pisi kali ili x-mke ajisikie hana lolote ajilinganishapo
 
Habari wakuu.

Nilileta andiko hapa la mchizi wangu wa Italy kufuma meseji kwenye simu yake akichati kimahaba na mwanaume mwingine.

Jamaa baada ya kukaa kikao cha familia ili ipatikane suruhu lakini mchizi wangu alishindwa kuvumilia.

Siku ya Leo jumapili amempa TALAKA tatu yaani sio Mke wake Tena lakini wamefanikiwa kupata watoto wawili wa kiume.
End of the road…!
 
Back
Top Bottom