Si watagawana mali? Hakuna shidaHabari wakuu.
Nilileta andiko hapa la mchizi wangu wa Italy kufuma meseji kwenye simu yake akichati kimahaba na mwanaume mwingine.
Jamaa baada ya kukaa kikao cha familia ili ipatikane suruhu lakini mchizi wangu alishindwa kuvumilia.
Siku ya Leo jumapili amempa TALAKA tatu yaani sio Mke wake Tena lakini wamefanikiwa kupata watoto wawili wa kiume.
End of the road…!Habari wakuu.

Mpaka kafikia maamuzi hayo basi bila shaka hilo alishalifikiria.Apo kuna kugawana mali sasa.
Sio kweli mana ukifumania ni suala ambalo maamuzi yake ni kuachana na hakuna muda wa kujipanga.Mpaka kafikia maamuzi hayo basi bila shaka hilo alishalifikiria.
they say communication save relations, I can tellDaah hilo siwezi kulifanya na wala sitaki ukaribu nae
Unaogopa kupigwa tukio😂😂Daah hilo siwezi kulifanya na wala sitaki ukaribu nae