B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Oct 27, 2024 #21 Aeronautical said: Sio kweli mana ukifumania ni suala ambalo maamuzi yake ni kuachana na hakuna muda wa kujipanga. Click to expand... Kwa hiyo siku hizi ukiona msg tu tayari inaitwa kumfumania?
Aeronautical said: Sio kweli mana ukifumania ni suala ambalo maamuzi yake ni kuachana na hakuna muda wa kujipanga. Click to expand... Kwa hiyo siku hizi ukiona msg tu tayari inaitwa kumfumania?
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Oct 27, 2024 #22 Aeronautical said: Sio kweli mana ukifumania ni suala ambalo maamuzi yake ni kuachana na hakuna muda wa kujipanga. Click to expand... Huyu jamaa alileta uzi kabla ya huu huenda hujaupitia, mpaka maamuzi ya talaka yanafikiwa ni jamaa kukataa kusamehe baada ya vikao kadhaa.
Aeronautical said: Sio kweli mana ukifumania ni suala ambalo maamuzi yake ni kuachana na hakuna muda wa kujipanga. Click to expand... Huyu jamaa alileta uzi kabla ya huu huenda hujaupitia, mpaka maamuzi ya talaka yanafikiwa ni jamaa kukataa kusamehe baada ya vikao kadhaa.
Saad30 JF-Expert Member Joined May 26, 2020 Posts 2,737 Reaction score 5,464 Oct 27, 2024 Thread starter #23 Ngurukia said: Unaogopa kupigwa tukio😂😂 Click to expand... Wee huogopi?
Saad30 JF-Expert Member Joined May 26, 2020 Posts 2,737 Reaction score 5,464 Oct 27, 2024 Thread starter #24 Lovebird said: Watuletea umbea wa ya rafikia ako, ama ndo mpambe ubebaye na kumwaga ya wengine Mshauri atafte pisi kali ili x-mke ajisikie hana lolote ajilinganishapo Click to expand... Upendo wee mzuri ujue
Lovebird said: Watuletea umbea wa ya rafikia ako, ama ndo mpambe ubebaye na kumwaga ya wengine Mshauri atafte pisi kali ili x-mke ajisikie hana lolote ajilinganishapo Click to expand... Upendo wee mzuri ujue
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Oct 27, 2024 #25 Inaumiza sana
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 25,725 Reaction score 78,589 Oct 27, 2024 #26 Safi sana..ni Raha sana Kumpa Mwanamke Talaka ukiwa tayari umezaa naye. Huko aendako ,wakumuoa hamna . Hapo ndipo majuto huitwa majukuu
Safi sana..ni Raha sana Kumpa Mwanamke Talaka ukiwa tayari umezaa naye. Huko aendako ,wakumuoa hamna . Hapo ndipo majuto huitwa majukuu