Jamaa kapewa namba yangu na demu huko njiani kaanza kunitongoza

Jamaa kapewa namba yangu na demu huko njiani kaanza kunitongoza

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
1,199
Reaction score
1,346
Lijamaa leo limekutana na demu njiani likaomba namba ya simu likapewa feki namba yaani namba ya mwanaume ( Mimi).

Mara paap lijamaa linatuma text njoo hapa guest, nimeshachukua chumba kabisa,

Nikaliambia poa, nirushie hela ili nipande boda fasta ( jamaa likawa ligumu kurusha).

Nikaingia nearby friend kumtrace yuko wapi, fuatilia nikaona yuko mita chache .

Nikawa nimekaa nae pale nje ya guest tunachati nae bila kugundua kuwa anachati na mimi.

Ni kasema ngoja nimpigie simu pale pale ( nione reaction yake).

Napiga jamaa kapokea ( jamaa alitoka nduki kuelekea nje kama miale ya mwanga).

Hakuamini kilichomtokea na kitendo hiki kimekuwa fundisho kwake kuacha kuchukua chukua namba za watu njiani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah jamaa mwupe sana hata kutunga story ya uongo ikamshawishi mtu huwez.!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahaha....!!! Kuna story zingine ukizitoa angalia na jinsia yko kwanza.

Haiingii akilini MWANAUME ALIYEKAMILIKA, kumfuata mwanaume mwenzako guest kisa kapewa namba tofauti. What for..?? Ili umuone, au?? Na ukishamuona je, unataka ugundue kma handsome au?? Then what??

Nyie ndio mnatia aibu jinsia yetu. Pumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyo mwanaume si ndie yule mwanaume wa kigoma uliempikia chai na kumgusagusa mgegedo wake.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ungeenda angekugegeda vijana hawachagui siku hizi, ukiwa na tundu humo humo, utajijua huko mbele.
 
Ama kweli vijana hatuna kazi za kufanya, yani mpaka unaitwa gesti na mwanaume mwenzio unaenda kabisa? Dah hujamalizia kwamba ulipigwa tigo Tanzania
 
1. Umesema jamaa ALISHACHUKUA CHUMBA.

2. Ukaingia NEARBY FRIEND ukagundua yupo mita chache.

3. Ukasema tena ulikutana nae mkawa mmekaa NJE ya guest mnachati.

4. Ukasema tena baada ya kugundua ni ww AKAKIMBIA NJE kama miale ya mwanga.


MASWALI FIKIRISHI:

1. Kwann achukue chumba WAKATI HATA KUKUTONGOZA VIZURI ALIKUW BADO..??

2. Kwanini wewe uingie NEARBY FRIEND wakati unasema hata humjui?? How dis you know that yupo those few meters from you??

3. Hiyo COINCIDENCE ni ya ajabu kiasi gani, anapewa namba na mtu baki, halafu aje mpaka mtaani kwenu??

4. Ulijuaje kama KAPEWA NAMBA YA UONGO NA MWANAMKE?? Au ulipokuw unachati nae ukamuuliza namba yngu umepewa na nani, na yeye akakujibu amepewa na mwanamke?? Inawezekana vipi hyo wkt yeye alijua anachati na mhusika?

5. Una uhakika gani kwamba huyo jamaa HAKUTAKA NAMBA YA SHOGA KUTOKA KWA HUYO BINTI, ndo akapewa namba yako ndio maana akaja mpaka mita chache tu mtaani kwenu..??

6. Kwanini useme MMEKAA NJE YA GUEST MNACHATI wakati huyo bwana ako alishachukua chumba (that means yupo chumban)

7. Kwanini useme AKAKIMBIA NJE kama miale ya mwanga, wakati mwanzo umesema MLIKUW MMEKAA NJE...??? Inawezekanaje mtu umekaa nje, halafu ukimbie nje, wakati siku zote anayekimbilia nje, maana yake katokea ndani.

8. Ulishangaa nini jamaa kupewa NAMBA FEKI..?? Cha ajabu nini?? Hujui sisi wanaume ni kama tupo mbugani tunawinda?? Swala akikatiza tunamla fasta, na wengine wanatukimbia (ndio kama hao wanaotoa namba za magar, kila tukipiga hazipatikan). Ila hata wao wakisepa HATUACHI KUWINDA.


9. Kwann uendelww kuchati na mtu UNAYEJUA KABISA ANAHISI WEWE NI MWANAMKE..??? Tena mpk anakuita guest na wewe unaenda..!!! Unajitetea vipi hapo kama wewe ni rijali..??


UGUNDUZI WANGU:

1. Narudia tena kusema WEWE NI SHOGA na jamaa amekula tako.

2. Nimegundua jamaa kakuita mpaka guest, ukaingia akala mzigo, hakukulipa ndio AKAKIMBILIA NJE FASTAA.

3. Jamaa HAKUKOSEA NAMBA, ila alitaka namba ya shoga kwa mtu, ndo AKAPEWA YA KWAKO.


USHAURI:

1. Acha kabisa kutudhalilisha wanaume na jinsia ya kiume kwa ujumla.

2. Acha kujiita MZANAKI. Ninachoamini mimi Wazanaki (wanatoka Mara nadhani) wanajinasibu kama watu strong ndio maana wenzako wapo jeshini. UNLESS useme unajiita Mzanaki KWA SABABU ULISOMA ZANAKI GIRLS SECONDARY .








Sent from my D5322 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom