Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,346
Lijamaa leo limekutana na demu njiani likaomba namba ya simu likapewa feki namba yaani namba ya mwanaume ( Mimi).
Mara paap lijamaa linatuma text njoo hapa guest, nimeshachukua chumba kabisa,
Nikaliambia poa, nirushie hela ili nipande boda fasta ( jamaa likawa ligumu kurusha).
Nikaingia nearby friend kumtrace yuko wapi, fuatilia nikaona yuko mita chache .
Nikawa nimekaa nae pale nje ya guest tunachati nae bila kugundua kuwa anachati na mimi.
Ni kasema ngoja nimpigie simu pale pale ( nione reaction yake).
Napiga jamaa kapokea ( jamaa alitoka nduki kuelekea nje kama miale ya mwanga).
Hakuamini kilichomtokea na kitendo hiki kimekuwa fundisho kwake kuacha kuchukua chukua namba za watu njiani.
Sent using Jamii Forums mobile app