Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Eeee !!! mwanangu weee !!! Sijui umeipata hii!!! Kuna kijana mmoja wa chama cha wananchi CUF alimchukua dem geto, Basi dem akaanza kuvua baibui ndan ana kanzu ya CCM akaendelea kuvua kanzu chup na sigiria zote zilikua za CCM. basi jamaa baada ya kula uroda akamuuliza dem : Kwa nini umevaa nguo za CCM ? Dem akamjib: NILIFIKIRI UTAISUSIA KAMA MULIVYO USUSIA UCHANGUZ WA MAREJEO !!!Jamaa kabaki mdomo wazi!!! Hivi unafikir tunaweza kweli kususa?