hata ashauriwe vipi lkn mkeo keshajua anamcheat.
kinachinishangaza ni hivyo anavyotaka kulia.najiuliza kinachotaka kumliza ni nini?
anaogopa mkewe atamuacha ndo mana machozi yanamlenga au anaogopa mkewe kwa vile keshajua atamfanyia fujo 'dear'.
kama machozi yanamlenga sbb anaogopa kumpoteza mkewe kwa nini alicheat?
i hope mkewe hatamuacha lkn anahitaji kukemea hilo pepo la tamaa za kishamba.
wanaume wote waliooa halafu wanacheat wake zao ilhal bado wanawapenda wana tamaa za kilimbukeni na kishamba.