Jamaa katuma wrong sms kwa mkewe!

Jamaa katuma wrong sms kwa mkewe!

muambie unaanza kujifunza ku act na huo ulikuwa ni mtihani wa kumuangalie mkeo atareact vp ili mtunge mchezo wa kuigiza
 
Huyo kalikoroga, inaonesha ndo mara yake ya kwanza kuiba...tena inaonekana mkewe ndo amemjaa akilini mwake zaid kuliko huyo changu mwingine, aachane na huyo wa pembeni arud kwenye mstari na afiche soo kwa mkewe yaishe, Asirudie kuiba.
 
Asikubali tu kama alichomeka ile 'ndude' kuna pahala.yaani huo utamu uatengenezee kitu lkn sio ile intercourse manake hapo patachimbika
 
Du hii kali ye aende tu nyumbani na km mkewe ni km asha ngedere asubiri kudundwa, asirudie kuchakachua ndoa yake.
 
Je ingekuwa mkewe ndio katuma kwake bahati mbaya kungekuwa na maelewano. Acha ya kukute na ukome
 
hata ashauriwe vipi lkn mkeo keshajua anamcheat.
kinachinishangaza ni hivyo anavyotaka kulia.najiuliza kinachotaka kumliza ni nini?
anaogopa mkewe atamuacha ndo mana machozi yanamlenga au anaogopa mkewe kwa vile keshajua atamfanyia fujo 'dear'.
kama machozi yanamlenga sbb anaogopa kumpoteza mkewe kwa nini alicheat?
i hope mkewe hatamuacha lkn anahitaji kukemea hilo pepo la tamaa za kishamba.
wanaume wote waliooa halafu wanacheat wake zao ilhal bado wanawapenda wana tamaa za kilimbukeni na kishamba.
 
upo kipenzi? za masiku jamani mi miss u!

naomba mwongozo apo kwenye bold please
 
upo kipenzi? za masiku jamani mi miss u!

naomba mwongozo apo kwenye bold please

mupenzi kweli tumepoteana sana,hata sielewewi hili linasababishwa na nini.natumai hujambo.
hapo ktk bold sidhan kama kunahitaj mwongozo zaid,labda kama unahitaji nikutajie aina mbalimbali za roho za kuzimu na cha muhimu ongeomba nikuambie jinsi yakutoruhusu roho hizi kumwingia mtu.Hizi roho za pepo wakuzimu lengo lake nikukutesa mwanadamu,mwanzon zinakutia ujasiri nakukuonyesha matokea mazuri lkn pindi ukishazipa kibali chakukutawala zitakupelekea kufanya vitendo vitakavyopoteza furaha na aman ktk maisha yako,mf mzuri ni huu tunoongelea.
huyu kaka si unaona baada yakuruhusu hiz roho zikampa ujasiri wakuisalit ndoa yake,baada yakuisalit maokeo yake si unaona sasa anataman kulia,hana tena furaha,ule wepesi aliokuaakiufurahia umegeuka majonzi na uchungu moyoni,hapo alipo anahofu yakumpoteza mkewe,na hapo yule roho aliyempa tamaa kisherudi kuzimu akiwa keshatimiza wajibu wake wakumkosesha mpendwa wetu huyu amani.
mim simuhukumu maana hata mim ningekuwa sina Yesu ningeweza kuwa na tamaa za kishamba lkn Yesu yupo busy kuhakikisha roho kama hizi hazisogei anga zangu.
 
Back
Top Bottom