Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Lilikuwa na sura ngumu kama Bambo.huyu si kuna wakati alioaga lishangazi sijui linaishi USA??
Kabisa ukileta wenge unajikuta gerezani.Wewe unafikir kwanini kataa ndoa wana msimamo huo??? Ndoa kwa ajil ya watu wenye akil na uwezo wa kustahimil mikiki mikiki. Ndoa sio kwaajil ya viruka njia (vi jumper).
Ukioa unatliza akil vinginevyo unatulizwa by force