Jamaa kirahisi sana kajibebea Milioni moja kisa kuvaa t-shirt ya TECNO

Jamaa kirahisi sana kajibebea Milioni moja kisa kuvaa t-shirt ya TECNO

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Kampuni ya simu ya TECNO Tanzania imemkabidhi zawadi rasmi “Shabiki wa Dhahabu” aliyeibua hisia kubwa mitandaoni baada ya kuonekana na Tshirt ya TECNO kwenye mechi ya Taifa Stars dhidi ya Burkina Faso.

Shabiki huyo alipatikana kwa msaada wa Watanzania kupitia mitandao ya kijamii baada ya TECNO kutangaza dau la TSh milioni 1 kwake. Ametembelea ofisi za TECNO hii leo na kuondoka na zawadi yake ikiambatana na zawadi zingine kemkem

Soma pia: Je ni kweli kuvaa ofisini T- shirt yenye kola maarufu kama form six ni kosa ukiwa mtumishi wa umma?
 
Back
Top Bottom