Jamaa mwenye korodani moja

Jamaa mwenye korodani moja

BIN BOR

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
1,013
Reaction score
407
Katika kijiji kimoja kuna jamaa alizaliwa na mbupu moja, hivyo akapewa jina la utani 'jiwe moja'. Huyu jamaa akawa hapendi kuitwa Jiwe Moja na alipokuwa kijana akaahidi kuwa mtu akimwita Jiwe Moja atamuua. Jamaa alikuwa kashiba na misuli ya ukweli hivyo kila mtu akaogopa kumwita Jiwe Moja.Siku moja binti mmoja aitwaye Ndege Kasuku akajisahau akamwita Jiwe Moja! Jamaa akamkamata yule binti akampeleka machakani, akambaka usiku kucha. Hadi kufika asubuhi yule binti akawa amefariki kwa kichapo. Watu waliposikia wakaogopa sana, wakaacha kabisa kuita Jiwe Moja.

Ikatokea siku binti mwingine aitwaye Ndege Tausi aliyeondoka kijijini muda mrefu akakutana na jamaa. Kwa furaha akamrukia na kumsalimia "mambo Jiwe Moja!" dah, jamaa akahamaki, akamkamata yule binti akamvutia kwenye machaka akambaka usiku kucha. Hadi kunapambazuka binti wa watu bado anadunda tu, hajafa. Mzima kabisa.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Unajua ni kwa nini Ndege Tausi hakufa?
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Unajua???
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Huwezi hata ku-guess !!!
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Fikiria tena !!!
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Umekosa jibu kwa nini Ndege Tausi hakufa !!!
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Mbona kila mtu anajua...........
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Huwezi kuua ndege wawili kwa Jiwe Moja!
 
What tha bado unaendelea ukishikwa mi simo!ha ha
 
eti eeeeh huwezi kuua ndege wawili kwa jiwe moja eh!?but si ina 'matter' na muda?
 
Hapo sisemi kitu bosi!big up kwa comedy yako!
 
dah! Kaka nimekuelewa na niyaukwel ile mbaya kidogo 2u uniache ila fleeesh! Ingekuwa chemsha bongo hii ungekamata weng mzeeya
 
Back
Top Bottom