Jamaa nina uvivu wa

Don chul Lingula

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2017
Posts
363
Reaction score
276
Habarini ndugu zangu nina uvivu mkubwa sana muda unapofika wa kwenda chooni nawaza mara mbili naondokanaje na uvivu huu naweza kukaa siku mbili sijakata gogo Kwa ajili tu ya uvivu ushauri uuhusike hapa
 
Yani kukaya gogo ni starehe alafu unakuwa mvivu [emoji33] [emoji33]
 
Kuna starehe 3 kwa kila kiumbe ..toilet kugegedana ..na kula ukifanikisha ivyo basi.
 
Hiyo hali utokea endapo kuna mazingira yasiyo rafiki kwako,

Inawezekana choo hakina mlango mmeweka pazia - ivyo unaogopa na Sio uvivu huo.

Pili, choo kina mlango lakini kilivyo kaa watu wanaweza jua unacho kifanya umo ndani, hasa ivi vyoo vya masinki uki_nya sauti ya gogo inasikika au wakati wa kuflash unasikika

Tatu na mbaya zaid pengine korido ya kuelekea choo kilipo huwa kuna wamama au wadada hapo hukaaga sana au kufanya shughuli zao ivyo waogopa..

Ku_nya ndio raha pekee inakuwaje wewe uone uvivu???!!! ____huo ni uoga
 
Kunya kuna raha gani wakati huwa tunakunja uso kweli wakati tunagoogle(kukata gogo)
 
Kunya kuna raha gani wakati huwa tunakunja uso kweli wakati tunagoogle(kukata gogo)

Ilo ni tatizo mkuu, wazungu wanaita constipation.

Sasa nakuomba

uwe unakula mboga mboga za majani, matunda kama parachichi na papayaa, baada ya hapo naomba uje unipe mrejesho mimi avatar mok.

Niamini utakunya kitu laini hata hutotumia nguvu na utafutahia ukataji gogo wako
 
Kwa hyo nikunya ki2 urojo rojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…