Unakuta bangi na viroba vishaoanda kichwani, basi-‘anaamua tu kufanya mischieve..Wakuu mambo vp
Kweli nimeamini kifo tunatembea nacho kama siyo uwepo wa Mungu kwenye hii Dunia sijui kama ningepata hata huu wasaa wa kutype hapa JF.
Majira ya saa 3 usiku
Nikiwa natembea kwa miguu pembezoni mwa barabara( Service Road) kunakitu kilikuja kikatua kwenye Bega langu la kushoto nilihisi maumivu makali sana, kucheki ilikuwa chupa ya serengeti imeangukia pembeni
Ghafla nikaanza kuhisi maumivu makali san ambayo mpaka sasa yanaendelea kuniuma kwenye Bega langu la kushoto
Nikiwa naugulia maumivu ndipo Jamaa mmoja ambae yeye alimuona Fala alienipiga na chupa akaniuliza kwamba kwani jamaa anakujua nikasema yupi akasema si yule aliyekupiga na chupa akiwa amepakiwa kwenye pikipiki, pia baada ya kukupiga aligeuka kukuangalia me nikajua mnafahamiana nikasema simjui, Basi yule jamaa akanisaidia kuninyoosha Bega kisha akaondoka zake nami nikawa najikokota kulekea nyumbani.
Sasa nikuulize wee jamaa uliyenipiga na chupa lengo lako lilikua nini ungenipiga kichwani au kwenye Moyo si ulikua unaniua Wee Mngese nimekukosea nini mimi au ndiyo mashart ya kiganga yaani majini unayoyafuga yanataka Damu sasa umeona uitafute Damu kwa njia hiyo wee maku?
Jamani mbona hii Dunia imejaa waonevu kiasi hiki
Wakuu mambo vp

Pole sana mkuu,4. Nilikuwa napita service Road wao walikuwa Barabara kuuu
1. Sijawahi kutoka na mke wa mtu wala demu wa mtu mkuu
3.sinywi pombe mkuu
5. Sijawahi kutapeli mtu mkuu yaani kifupi simjui jamaa
Inasikitisha, watu wana Roho mbaya sana katika kizazi hiki. Mungu atusaidieEheheheh 🤣 🤣 🤣 🤣
Nimecheka kama mazuri vile.
Aisee hiyo presentation
Umeharibu tu hapo ulipoandika mngese.Wakuu mambo vp
Kweli nimeamini kifo tunatembea nacho kama siyo uwepo wa Mungu kwenye hii Dunia sijui kama ningepata hata huu wasaa wa kutype hapa JF.
Majira ya saa 3 usiku
Nikiwa natembea kwa miguu pembezoni mwa barabara( Service Road) kunakitu kilikuja kikatua kwenye Bega langu la kushoto nilihisi maumivu makali sana, kucheki ilikuwa chupa ya serengeti imeangukia pembeni
Ghafla nikaanza kuhisi maumivu makali san ambayo mpaka sasa yanaendelea kuniuma kwenye Bega langu la kushoto
Nikiwa naugulia maumivu ndipo Jamaa mmoja ambae yeye alimuona Fala alienipiga na chupa akaniuliza kwamba kwani jamaa anakujua nikasema yupi akasema si yule aliyekupiga na chupa akiwa amepakiwa kwenye pikipiki, pia baada ya kukupiga aligeuka kukuangalia me nikajua mnafahamiana nikasema simjui, Basi yule jamaa akanisaidia kuninyoosha Bega kisha akaondoka zake nami nikawa najikokota kulekea nyumbani.
Sasa nikuulize wee jamaa uliyenipiga na chupa lengo lako lilikua nini ungenipiga kichwani au kwenye Moyo si ulikua unaniua Wee Mngese nimekukosea nini mimi au ndiyo mashart ya kiganga yaani majini unayoyafuga yanataka Damu sasa umeona uitafute Damu kwa njia hiyo wee maku?
Jamani mbona hii Dunia imejaa waonevu kiasi hiki
Inaonekana jamaa aliyekupiga chupa hapendezewi na utaratibu wako wa maisha,maana uko clean sana,sasa anataka na wwe unywe pombe kama yeye na ndiyo maana kakupiga na chupa ya bia!!4. Nilikuwa napita service Road wao walikuwa Barabara kuuu
1. Sijawahi kutoka na mke wa mtu wala demu wa mtu mkuu
3.sinywi pombe mkuu
5. Sijawahi kutapeli mtu mkuu yaani kifupi simjui jamaa
Huyo jamaa kwa akili zake hizo hawezi kumiliki smart phone tumekuelew poleWakuu mambo vp
Kweli nimeamini kifo tunatembea nacho kama siyo uwepo wa Mungu kwenye hii Dunia sijui kama ningepata hata huu wasaa wa kutype hapa JF.
Majira ya saa 3 usiku
Nikiwa natembea kwa miguu pembezoni mwa barabara( Service Road) kunakitu kilikuja kikatua kwenye Bega langu la kushoto nilihisi maumivu makali sana, kucheki ilikuwa chupa ya serengeti imeangukia pembeni
Ghafla nikaanza kuhisi maumivu makali san ambayo mpaka sasa yanaendelea kuniuma kwenye Bega langu la kushoto
Nikiwa naugulia maumivu ndipo Jamaa mmoja ambae yeye alimuona Fala alienipiga na chupa akaniuliza kwamba kwani jamaa anakujua nikasema yupi akasema si yule aliyekupiga na chupa akiwa amepakiwa kwenye pikipiki, pia baada ya kukupiga aligeuka kukuangalia me nikajua mnafahamiana nikasema simjui, Basi yule jamaa akanisaidia kuninyoosha Bega kisha akaondoka zake nami nikawa najikokota kulekea nyumbani.
Sasa nikuulize wee jamaa uliyenipiga na chupa lengo lako lilikua nini ungenipiga kichwani au kwenye Moyo si ulikua unaniua Wee Mngese nimekukosea nini mimi au ndiyo mashart ya kiganga yaani majini unayoyafuga yanataka Damu sasa umeona uitafute Damu kwa njia hiyo wee maku?
Jamani mbona hii Dunia imejaa waonevu kiasi hiki
vijana wakishalewa wanajikutaga hawaelew yaan kama wasengerema hvi mi kuna sku kitambo mtu kalewa zake m natembea kanipga ngumi dahWakuu mambo vp
Kweli nimeamini kifo tunatembea nacho kama siyo uwepo wa Mungu kwenye hii Dunia sijui kama ningepata hata huu wasaa wa kutype hapa JF.
Majira ya saa 3 usiku
Nikiwa natembea kwa miguu pembezoni mwa barabara( Service Road) kunakitu kilikuja kikatua kwenye Bega langu la kushoto nilihisi maumivu makali sana, kucheki ilikuwa chupa ya serengeti imeangukia pembeni
Ghafla nikaanza kuhisi maumivu makali san ambayo mpaka sasa yanaendelea kuniuma kwenye Bega langu la kushoto
Nikiwa naugulia maumivu ndipo Jamaa mmoja ambae yeye alimuona Fala alienipiga na chupa akaniuliza kwamba kwani jamaa anakujua nikasema yupi akasema si yule aliyekupiga na chupa akiwa amepakiwa kwenye pikipiki, pia baada ya kukupiga aligeuka kukuangalia me nikajua mnafahamiana nikasema simjui, Basi yule jamaa akanisaidia kuninyoosha Bega kisha akaondoka zake nami nikawa najikokota kulekea nyumbani.
Sasa nikuulize wee jamaa uliyenipiga na chupa lengo lako lilikua nini ungenipiga kichwani au kwenye Moyo si ulikua unaniua Wee Mngese nimekukosea nini mimi au ndiyo mashart ya kiganga yaani majini unayoyafuga yanataka Damu sasa umeona uitafute Damu kwa njia hiyo wee maku?
Jamani mbona hii Dunia imejaa waonevu kiasi hiki
Lilikuwa levi tu lilivimbiwa na pombe na yapo mengi ya design hiyo.Wakuu mambo vp

Baba pole sana! Katika maisha yako hujawai ng'ata mke wa mtu, milima haikutani ila watu wanakutana.Wakuu mambo vp

Pole sana. Dunia hii imejaa binadamu wasiothamini uhai wa wenzao. Umenikumbusha ya Sativa na jinsi walivyotaka kumuua kwa jambo la kijinga sana. Yaliwahi kunikuta hata mimi. Nlikuwa natembea sehemu yenye ka-giza jioni, nikapita kikundi cha jamaa wamesimama wanazungumza. Kwenda mbele hatua chache nilipigwa jiwe la begani (nadhani walilenga kichwa likanikosa).Wakuu mambo vp
Kweli nimeamini kifo tunatembea nacho kama siyo uwepo wa Mungu kwenye hii Dunia sijui kama ningepata hata huu wasaa wa kutype hapa JF.
Majira ya saa 3 usiku
Nikiwa natembea kwa miguu pembezoni mwa barabara( Service Road) kunakitu kilikuja kikatua kwenye Bega langu la kushoto nilihisi maumivu makali sana, kucheki ilikuwa chupa ya serengeti imeangukia pembeni
Ghafla nikaanza kuhisi maumivu makali san ambayo mpaka sasa yanaendelea kuniuma kwenye Bega langu la kushoto
Nikiwa naugulia maumivu ndipo Jamaa mmoja ambae yeye alimuona Fala alienipiga na chupa akaniuliza kwamba kwani jamaa anakujua nikasema yupi akasema si yule aliyekupiga na chupa akiwa amepakiwa kwenye pikipiki, pia baada ya kukupiga aligeuka kukuangalia me nikajua mnafahamiana nikasema simjui, Basi yule jamaa akanisaidia kuninyoosha Bega kisha akaondoka zake nami nikawa najikokota kulekea nyumbani.
Sasa nikuulize wee jamaa uliyenipiga na chupa lengo lako lilikua nini ungenipiga kichwani au kwenye Moyo si ulikua unaniua Wee Mngese nimekukosea nini mimi au ndiyo mashart ya kiganga yaani majini unayoyafuga yanataka Damu sasa umeona uitafute Damu kwa njia hiyo wee maku?
Jamani mbona hii Dunia imejaa waonevu kiasi hiki
Asa siinategemea kama mtu ndo anatoka job anaenda nyumbani.Unazurura hovyo ndio maana unabutuliwa..tafuta kazi za kufanya