Jamaa uliyenipiga na Chupa ya sere nikiwa natembea service road huku ukiwa kwenye pikipiki Kusudio lako lilikua nini? Ulitaka kuniua nimekukosea nini?

Unazurura hovyo ndio maana unabutuliwa..tafuta kazi za kufanya
 
Wakuu mambo vp
Kweli nimeamini kifo tunatembea nacho kama siyo uwepo wa Mungu kwenye hii Dunia sijui kama ningepata hata huu wasaa wa kutype hapa JF.

Majira ya saa 3 usiku
Nikiwa natembea kwa miguu pembezoni mwa barabara( Service Road) kunakitu kilikuja kikatua kwenye Bega langu la kushoto nilihisi maumivu makali sana, kucheki ilikuwa chupa ya serengeti imeangukia pembeni

Ghafla nikaanza kuhisi maumivu makali san ambayo mpaka sasa yanaendelea kuniuma kwenye Bega langu la kushoto

Nikiwa naugulia maumivu ndipo Jamaa mmoja ambae yeye alimuona Fala alienipiga na chupa akaniuliza kwamba kwani jamaa anakujua nikasema yupi akasema si yule aliyekupiga na chupa akiwa amepakiwa kwenye pikipiki, pia baada ya kukupiga aligeuka kukuangalia me nikajua mnafahamiana nikasema simjui, Basi yule jamaa akanisaidia kuninyoosha Bega kisha akaondoka zake nami nikawa najikokota kulekea nyumbani.

Sasa nikuulize wee jamaa uliyenipiga na chupa lengo lako lilikua nini ungenipiga kichwani au kwenye Moyo si ulikua unaniua Wee Mngese nimekukosea nini mimi au ndiyo mashart ya kiganga yaani majini unayoyafuga yanataka Damu sasa umeona uitafute Damu kwa njia hiyo wee maku?
Jamani mbona hii Dunia imejaa waonevu kiasi hiki
Unakuta bangi na viroba vishaoanda kichwani, basi-‘anaamua tu kufanya mischieve..
 
Msile wake za watu
 
4. Nilikuwa napita service Road wao walikuwa Barabara kuuu
1. Sijawahi kutoka na mke wa mtu wala demu wa mtu mkuu
3.sinywi pombe mkuu
5. Sijawahi kutapeli mtu mkuu yaani kifupi simjui jamaa
Pole sana mkuu,
Inawezekana labda hakuwa na nia ya kukupiga labda aliamua kuitupa halafu bahati mbaya ikakupiga wewe.
Msamehe bure labda hakukusudia chamsingi bado upo mzima endelea na mengine
 
We dada unapenda kulialia sasa kachupa tu unalalamika hadi huku sasa siku unatolewa ubikra maumivu yake siulitangaza darasa zima.
 
Wakuu mambo vp
Kweli nimeamini kifo tunatembea nacho kama siyo uwepo wa Mungu kwenye hii Dunia sijui kama ningepata hata huu wasaa wa kutype hapa JF.

Majira ya saa 3 usiku
Nikiwa natembea kwa miguu pembezoni mwa barabara( Service Road) kunakitu kilikuja kikatua kwenye Bega langu la kushoto nilihisi maumivu makali sana, kucheki ilikuwa chupa ya serengeti imeangukia pembeni

Ghafla nikaanza kuhisi maumivu makali san ambayo mpaka sasa yanaendelea kuniuma kwenye Bega langu la kushoto

Nikiwa naugulia maumivu ndipo Jamaa mmoja ambae yeye alimuona Fala alienipiga na chupa akaniuliza kwamba kwani jamaa anakujua nikasema yupi akasema si yule aliyekupiga na chupa akiwa amepakiwa kwenye pikipiki, pia baada ya kukupiga aligeuka kukuangalia me nikajua mnafahamiana nikasema simjui, Basi yule jamaa akanisaidia kuninyoosha Bega kisha akaondoka zake nami nikawa najikokota kulekea nyumbani.

Sasa nikuulize wee jamaa uliyenipiga na chupa lengo lako lilikua nini ungenipiga kichwani au kwenye Moyo si ulikua unaniua Wee Mngese nimekukosea nini mimi au ndiyo mashart ya kiganga yaani majini unayoyafuga yanataka Damu sasa umeona uitafute Damu kwa njia hiyo wee maku?
Jamani mbona hii Dunia imejaa waonevu kiasi hiki
Umeharibu tu hapo ulipoandika mngese.

Otherwise ulichokiandika kingemchapa yule jamaa in no time.
 
4. Nilikuwa napita service Road wao walikuwa Barabara kuuu
1. Sijawahi kutoka na mke wa mtu wala demu wa mtu mkuu
3.sinywi pombe mkuu
5. Sijawahi kutapeli mtu mkuu yaani kifupi simjui jamaa
Inaonekana jamaa aliyekupiga chupa hapendezewi na utaratibu wako wa maisha,maana uko clean sana,sasa anataka na wwe unywe pombe kama yeye na ndiyo maana kakupiga na chupa ya bia!!
 
Pole mkuu, ni kweli sometimes huna hili wala lile jambo linakuzukia tu. Juzi alhamisi nilikuwa natembea sehemu yenye msongamano wa watu na mbele yangu kulikuwa na baba mtu mzima kiasi aisee kuna chizi sijui hata alikotokea alimpiga yule mzee na jiwe kubwa kichwani akaanguka chini damu zinamwagika halafu yule chizi akaanza kutimua mbio. Baadhi ya raia tukaanza kumsaidia yule mzee kumkimbiza hospital kumbe huku nyuma kuna raia walinyooka na yule chizi alipewa kichapo mpaka akazirai. Cha ajabu hakuna mtu wa maeneo yale anaemfahamu huyo chizi, ilikua ajabu kweli
 
Wakuu mambo vp
Kweli nimeamini kifo tunatembea nacho kama siyo uwepo wa Mungu kwenye hii Dunia sijui kama ningepata hata huu wasaa wa kutype hapa JF.

Majira ya saa 3 usiku
Nikiwa natembea kwa miguu pembezoni mwa barabara( Service Road) kunakitu kilikuja kikatua kwenye Bega langu la kushoto nilihisi maumivu makali sana, kucheki ilikuwa chupa ya serengeti imeangukia pembeni

Ghafla nikaanza kuhisi maumivu makali san ambayo mpaka sasa yanaendelea kuniuma kwenye Bega langu la kushoto

Nikiwa naugulia maumivu ndipo Jamaa mmoja ambae yeye alimuona Fala alienipiga na chupa akaniuliza kwamba kwani jamaa anakujua nikasema yupi akasema si yule aliyekupiga na chupa akiwa amepakiwa kwenye pikipiki, pia baada ya kukupiga aligeuka kukuangalia me nikajua mnafahamiana nikasema simjui, Basi yule jamaa akanisaidia kuninyoosha Bega kisha akaondoka zake nami nikawa najikokota kulekea nyumbani.

Sasa nikuulize wee jamaa uliyenipiga na chupa lengo lako lilikua nini ungenipiga kichwani au kwenye Moyo si ulikua unaniua Wee Mngese nimekukosea nini mimi au ndiyo mashart ya kiganga yaani majini unayoyafuga yanataka Damu sasa umeona uitafute Damu kwa njia hiyo wee maku?
Jamani mbona hii Dunia imejaa waonevu kiasi hiki
Huyo jamaa kwa akili zake hizo hawezi kumiliki smart phone tumekuelew pole
 
Nunua gari kijana, hizo shurba zote utaziepuka.

Huenda huyo katumwa kukumbusha upambane uwe na walau kiberiti chako, la sivyo utapigwa kichwa kweli.
 
Wakuu mambo vp
Kweli nimeamini kifo tunatembea nacho kama siyo uwepo wa Mungu kwenye hii Dunia sijui kama ningepata hata huu wasaa wa kutype hapa JF.

Majira ya saa 3 usiku
Nikiwa natembea kwa miguu pembezoni mwa barabara( Service Road) kunakitu kilikuja kikatua kwenye Bega langu la kushoto nilihisi maumivu makali sana, kucheki ilikuwa chupa ya serengeti imeangukia pembeni

Ghafla nikaanza kuhisi maumivu makali san ambayo mpaka sasa yanaendelea kuniuma kwenye Bega langu la kushoto

Nikiwa naugulia maumivu ndipo Jamaa mmoja ambae yeye alimuona Fala alienipiga na chupa akaniuliza kwamba kwani jamaa anakujua nikasema yupi akasema si yule aliyekupiga na chupa akiwa amepakiwa kwenye pikipiki, pia baada ya kukupiga aligeuka kukuangalia me nikajua mnafahamiana nikasema simjui, Basi yule jamaa akanisaidia kuninyoosha Bega kisha akaondoka zake nami nikawa najikokota kulekea nyumbani.

Sasa nikuulize wee jamaa uliyenipiga na chupa lengo lako lilikua nini ungenipiga kichwani au kwenye Moyo si ulikua unaniua Wee Mngese nimekukosea nini mimi au ndiyo mashart ya kiganga yaani majini unayoyafuga yanataka Damu sasa umeona uitafute Damu kwa njia hiyo wee maku?
Jamani mbona hii Dunia imejaa waonevu kiasi hiki
vijana wakishalewa wanajikutaga hawaelew yaan kama wasengerema hvi mi kuna sku kitambo mtu kalewa zake m natembea kanipga ngumi dah
 
Wakuu mambo vp
Kweli nimeamini kifo tunatembea nacho kama siyo uwepo wa Mungu kwenye hii Dunia sijui kama ningepata hata huu wasaa wa kutype hapa JF.

Majira ya saa 3 usiku
Nikiwa natembea kwa miguu pembezoni mwa barabara( Service Road) kunakitu kilikuja kikatua kwenye Bega langu la kushoto nilihisi maumivu makali sana, kucheki ilikuwa chupa ya serengeti imeangukia pembeni

Ghafla nikaanza kuhisi maumivu makali san ambayo mpaka sasa yanaendelea kuniuma kwenye Bega langu la kushoto

Nikiwa naugulia maumivu ndipo Jamaa mmoja ambae yeye alimuona Fala alienipiga na chupa akaniuliza kwamba kwani jamaa anakujua nikasema yupi akasema si yule aliyekupiga na chupa akiwa amepakiwa kwenye pikipiki, pia baada ya kukupiga aligeuka kukuangalia me nikajua mnafahamiana nikasema simjui, Basi yule jamaa akanisaidia kuninyoosha Bega kisha akaondoka zake nami nikawa najikokota kulekea nyumbani.

Sasa nikuulize wee jamaa uliyenipiga na chupa lengo lako lilikua nini ungenipiga kichwani au kwenye Moyo si ulikua unaniua Wee Mngese nimekukosea nini mimi au ndiyo mashart ya kiganga yaani majini unayoyafuga yanataka Damu sasa umeona uitafute Damu kwa njia hiyo wee maku?
Jamani mbona hii Dunia imejaa waonevu kiasi hiki
Lilikuwa levi tu lilivimbiwa na pombe na yapo mengi ya design hiyo.
 
Baba pole sana! Katika maisha yako hujawai ng'ata mke wa mtu, milima haikutani ila watu wanakutana.
 
Pole sana. Dunia hii imejaa binadamu wasiothamini uhai wa wenzao. Umenikumbusha ya Sativa na jinsi walivyotaka kumuua kwa jambo la kijinga sana. Yaliwahi kunikuta hata mimi. Nlikuwa natembea sehemu yenye ka-giza jioni, nikapita kikundi cha jamaa wamesimama wanazungumza. Kwenda mbele hatua chache nilipigwa jiwe la begani (nadhani walilenga kichwa likanikosa).
 
Back
Top Bottom