MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 373
- 895
Jamani kwema?
Nisiwachoshe.
Wiki ilopita nilikuwa kitaa na Binti mmoja ni Binti ambaye kiukweli nimekuwa nampigia hesabu za kumtongoza toka kitambo.
Sasa nikaanza zile hatua za mwanzo zikiwemo kumuweka karibu namm Ili nimuingize kwenye line nijiweke nijipunzishe maisha yaendelee.
Sasa wiki ilopita jmosi nilikuwa napita naye kitaa town namsindikiza cash point anaenda kutumia pesa Kwa mdogo wake skul.
Kwanza huyu Binti umbo lake ni mwembamba sana sana sana sana hafu chura hana hata kidogo (bila shaka alipitia changamoto katika makuzi yake).
Tupo main road ikapita PA jamaa anatangaza show sijuwi ya akina nani sijuwi ni makampeni sikuweza hata kuwasikiza vizuri.
Alipifika karibu yetu kabisa gari ilikuwa inatembea taratibu.
Jamaa anatangaza "karibuni mje mburudike wewe na mpenzi wako kutakuwa na muziki mpka majogoo kutakuwa na dj (sijuwi dj nani alimtaja), hakikisha unakuja na bebe yenye chura sasa wewe hapo mchuchu chura huna huyo jamaa atashika wapi"
Asee kama mwanaume nilijikaza sana ili Binti asijue kama nimesikia jamaa alivoropoka.
Nilijikausha ila Binti alijichekesha kidogo kama defensive mechanism lakini mimi nilijikausha kabisa ili bebe isijue kama nimenotice kitu ila nilijionea tabu sana siku ile nilitamani nimkariri jamaa nimtafute privately nimchane lakin sikuweza kumjua ni nani.
Hawa jamaa wa PA kama mmo humu ebu punguzeni sifa na muwe professional katika kazi zenu wazee mnaboa sometimes.