Jamaa wameniaharibia Raha ya mwaka mpya na na email ya kifedhuli, hivi new year si siku ya mapumziko?

Mejasoko

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
298
Reaction score
600
Niliomba kazi kwenye hii taasisi wiki iliyopita Sasa Leo nakutana na email na hivi ni mwaka mpya nikajua itakua ni habari njema kumbe ni huu upuuzi 🤣🤣🤣

Thank you for the time you took to express interest in Watu.

We regret to inform you that at this stage we have decided to proceed with another candidate who better fits with our current needs. With your consent, we wish to retain your resume and if a position opens that closely matches your skill set, we will contact you at that time.

Thanks again for your interest in employment at Watu. We wish you the best of success with your job search.

Best regards,
- Watu Team

yaani Hawa huu mwaka utawadodea dadeki zao hawana PR nzuri na wana poor customer services nawaambia kwa taarifa Yao hawajanikomoa wamenionyesha walivyokuwa unorganized😯
 
Sasa hawa sii wastaarabu kabisa wamekupa taarifa.
Wale wangese wwngi e hawakitumii barua kabisaaa.
 
we regret to inform.........

Yaani huwa inauma hatari.
 
Kwamba wewe uliona unaqualify ila wao hawajaona ukikwalify
 
Kwamba wewe uliona unaqualify ila wao hawajaona ukikwalify
I mean Leo hawatakiwi kutumia msg za aina hii Leo ni celebration day sio siku ya madisapointment, wanafail big time kuvibe na watu, wangesubiria workday waanze sarakasi zao
 
I mean Leo hawatakiwi kutumia msg za aina hii Leo ni celebration day sio siku ya madisapointment, wanafail big time kuvibe na watu, wangesubiria workday waanze sarakasi zao
Sasa kama huwafai wana haja gani na celebration zako?
 
ulipiga interview 😉
 
Bora wamekujibu kuliko kukaa kimya kumbe hapo baadaye wanaweza kukuhitaji

Mushukuru Mungu kwa kila jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…