Jamaa warudishwa Uganda Baada ya Kujinasibisha ni LgbTV ili Wapewe Ukimbizi

Jamaa warudishwa Uganda Baada ya Kujinasibisha ni LgbTV ili Wapewe Ukimbizi

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Kweli Duniani Kuna Mambo!

Wikiendi Muswano mwanaJF.

Kila siku unatafuta njia, fulsa ili ujikwamue kutokana na msongo wa mawazo kimaisha, hapo ulipo kuna fulsa ila hujaiona au hujui namna ya kuitumia au hata kwenda ulaya, raia wa Uganda wamepata fulsa ya bure kabisa, lakini!

Screenshot_2023_0326_111836.jpg

☝🏾
Picha haina uhusiano na story!

Kamishna mkuu wa haki za binadamu wa umoja wa Mataifa alimtaka Rais wa Uganda Yoweri Museveni kutotia saini mswada uliopitishwa na wabunge siku ya Jumanne wiki iliyopita.

Muswada wa kupinga ushoga wa 2023 ambao kwa kwa nchi za kiafrika huu tunaweza kuuita wa kibabe, inasemekana utakuwa na athari kwa jamii kwa ujumla japo kwa sasa haionekani.

Wakati hayo yakijiri, baadhi ya raia wamechangamkia fulsa ya kukimbia nchi kwa kutumia title ya wao ni mashoga ili wakapewe hadhi ya ukumbizi uko majuu.

Kuna waliofika ulaya na wakapokelewa vizuri tu na kupelekwa sehemu salama ya kujihifadhi, siku kadhaa hapo nyuma wakijiandaa kufanya press conference kwa media, ndipo mzozo ukazuka.

Siku ya ijumaa kuelekea wikiendi jamaa wakapokea ugeni pale kambini wakitaka kampani, ilihali jamaa hawaelewi hiki wala kile kuna mmoja alienda na mwenzake pale wakaanza dhambi, huku wakimbizi wakishangaa, but wakiombwa kampani wanagoma wanataka kuliamsha.

Kilichofatia ni kuonekana wale jamaa ni wasanii na walichemka baada ya kugundulika hawana uhusiano wowote na lgbTV, chapu kwenye ndege wakarudi kitaa hapo kampala! 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Porojo dot com, hujui lolote kuhusu asylum seeker.
Umevamia uzi, umeonekana kabisa.com yaani.

Iko hivi, unaonekana unajua sana mambo ya asylum seeker ila you're nothing na kwa nini kwa weledi wako usianzishe mada kwa hicho unachokijua kuliko kuvania nyuzi ukaandika (√π£#➿) ?
 
Hizi mada why mnazipenda
Ni vyema tukajua vitu vinavyoendelea, ili ukiona dalili yanataka kutokea kwenye jamii, familia, ukoo,...uyashtukie mapema
Usije ukawa wale wanaoshangazwa kwa kukosa maarifa/taarifa (information)
 
Hizi mada why mnazipenda
Kwa hiyo unataka watu wakae kimya siyo?.

Siku ukishtuka mwanao yupo upande huo nakuomba ukae kimya, yaani nasema usizungumze hata na ndg yako yeyote, ingia chumbani anza kulia na kufa nalo hilo.
 
Kwa hiyo unataka watu wakae kimya siyo?.

Siku ukishtuka mwanao yupo upande huo nakuomba ukae kimya, yaani nasema usizungumze hata na ndg yako yeyote, ingia chumbani anza kulia na kufa nalo hilo.
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom