Jamaa yake Mobetto anacheza ndondo ya basketball Marekani,hata kwa Aslay bado anasubiri sana.

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
mimi sio hater
Dada zetu povu ruksa,
Wanawake wa kibongo huwa wanajua kila mnyamwezi ni mnyamwezi kwelikweli,wanyamwezi wngine ni kama wakina Papa Mafido,bado wanaprint .

Kumbe shemeji yenu njaa tu ligi anayocheza huwa kuna kipindi inapita hata miezi minne hawajapewa posho,ingekuwa Bongo ni kama ndondo.

Na Mange miguu mibaya naye akasema eti jamaa ni ana hela Afrika nzima sijui alitumia vigezo gani? yaani jamaa hata akija bongo kwenye mastaa mia hayumo kabisa ata kwa Aslay hafuati achilia mbali vijana wa pale WCB.
Sasa hivi dunia nzima wwanaume bora Tanzania bado inaongoza,dada zetu acheni kuhangaika hangaika
 
Vip mbona unagombewa waume za watu.
Tafuta wako bana. Maana unateseka sana
mimi sio hater
Dada zetu povu ruksa,
Wanawake wa kibongo huwa wanajua kila mnyamwezi ni mnyamwezi kwelikweli,wanyamwezi wngine ni kama wakina Papa Mafido,bado wanaprint .
kumbe shemeji yenu njaa tu ligi anayocheza huwa kuna kipindi inapita hata miezi minne hawajapewa posho,ingekuwa Bongo ni kama ndondo.Na Mange miguu mibaya naye akasema eti jamaa ni ana hela Afrika nzima sijui alitumia vigezo gani? yaani jamaa hata akija Bongo kwenye mastaa mia hayumo kabisa ata kwa Aslay hafuati achilia mbali vijana wa pale WCB.
Sasa hivi dunia nzima wwanaume bora Tanzania bado inaongoza,dada zetu acheni kuhangaika hangaika
 
Kwayo sasa tufanyaje

Baba yangu mdogo huwa ananimbia sikiliza mambo ya kike na sifa zake halafu amua kiume. Mwanamke hata ukiwa na kilo tatu kwenye wallet ukizungusha ka round kesho keshakuweka kwenye list ya Forbes. Utasikia jamaa ana pesa mbaya. Kumbe mzee ulitoa kamshahara kako kote ukakaweka kwenye wallet ili upate papuchi za fasta fasta.
 
Kwani huko kwenye ndondo kuna wahusu nini kama wamependana si wao kwani huku bongo wanaume wote wana mihela ya kumwaga? Mbona mkiombwa elf 5 tu mnakuja kuwafungulia uzi humu! Muacheni dada wawatu apumue
 
Back
Top Bottom