Jamaa yake Mobetto anacheza ndondo ya basketball Marekani,hata kwa Aslay bado anasubiri sana.

Jamaa yake Mobetto anacheza ndondo ya basketball Marekani,hata kwa Aslay bado anasubiri sana.

Endelea kusaga sumu tuu maana ndo unachokiweza. Mwanaume unaanzaje kumponda mwanaume mwenzio au unamuonea wivu hamisa.
 
Kwa Uzi wa namna hii sitashangaa kusikia mleta uzi jina lake lipo kwenye zile sms anazotumiwa RC Makonda!!
 
Mi hapa nagonja siku huyo Hamissa atibuane na MANGE heheheheh

Hata wema walikuwa mashosti na mange

Hata mwamvita sijui walikuwa mashosti

Wako wengi tu we ngoja watibuane siku

MANGE atatupa hadi jamaa waliomchapa huyo demu hamisa huko marekani
 
Akiwaloga mnalalamika akipata Danga halina pesa BinAdam ni shida tupu
 
Wasng watemi wamevagaa hapa yani.

Ila jamaa ana muonekano mzuri sana anavutia
 
mimi sio hater
Dada zetu povu ruksa,
Wanawake wa kibongo huwa wanajua kila mnyamwezi ni mnyamwezi kwelikweli,wanyamwezi wngine ni kama wakina Papa Mafido,bado wanaprint .

Kumbe shemeji yenu njaa tu ligi anayocheza huwa kuna kipindi inapita hata miezi minne hawajapewa posho,ingekuwa Bongo ni kama ndondo.

Na Mange miguu mibaya naye akasema eti jamaa ni ana hela Afrika nzima sijui alitumia vigezo gani? yaani jamaa hata akija bongo kwenye mastaa mia hayumo kabisa ata kwa Aslay hafuati achilia mbali vijana wa pale WCB.
Sasa hivi dunia nzima wwanaume bora Tanzania bado inaongoza,dada zetu acheni kuhangaika hangaika
Nawewe tafuta mume anaecheza ligi kuu umpige gap Hamisa
 
Back
Top Bottom