Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo broMzee Hashim Thabiti aliishia kwenye draft akaanza kuzingua au huelewi hakufika NBA
Nawewe tafuta mume anaecheza ligi kuu umpige gap Hamisamimi sio hater
Dada zetu povu ruksa,
Wanawake wa kibongo huwa wanajua kila mnyamwezi ni mnyamwezi kwelikweli,wanyamwezi wngine ni kama wakina Papa Mafido,bado wanaprint .
Kumbe shemeji yenu njaa tu ligi anayocheza huwa kuna kipindi inapita hata miezi minne hawajapewa posho,ingekuwa Bongo ni kama ndondo.
Na Mange miguu mibaya naye akasema eti jamaa ni ana hela Afrika nzima sijui alitumia vigezo gani? yaani jamaa hata akija bongo kwenye mastaa mia hayumo kabisa ata kwa Aslay hafuati achilia mbali vijana wa pale WCB.
Sasa hivi dunia nzima wwanaume bora Tanzania bado inaongoza,dada zetu acheni kuhangaika hangaika