Jamaa yangu alimtafuta mrembo wa kula naye bata bila kujua aliyekuja alikuwa ni mkewe!

Chai haina hata vitafunwa huyo mwanamke anatokaje kwake ucku wote huo
 
ALKASUSU
 

Attachments

  • FB_IMG_1738077052331.jpg
    22.8 KB · Views: 2
Tatepa, Robusta, Arabica, cowbell, ili mradi mchanganyiko tuuu
 
Mushezi sana ww.
Nishakwambia sitakutoa tena out kula lager

Utajua urefu ya kamba yangu ww, umeniaga unayenda kulala umekuja kanibanika hapa.

Ni baeleze batanzanie, hyu amezoea za bure. Namuambia, se no lager se no kumleta DAYANA kucheza na playstaion5 ya mwanangu. Yooooko kavisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…