Jamaa yangu alimtafuta mrembo wa kula naye bata bila kujua aliyekuja alikuwa ni mkewe!

Kwa hiyo wewe muombwa ushauri imeshindwa kukaa na siri ya jamaa yako?
 
Mushezi sana ww.
Nishakwambia sitakutoa tena out kula lager

Utajua urefu ya kamba yangu ww, umeniaga unayenda kulala umekuja kanibanika hapa.

Ni baeleze batanzanie, hyu amezoea za bure. Namuambia, se no lager se no kumleta DAYANA kucheza na playstaion5 ya mwanangu. Yooooko kavisa
Bangi ya wapi umevuta? Au ndo ukichaa umekuakaribia
 
Mambo vipi Wana jamii....?

Ebana katika jamii tuliyopo kuna mambo huwa yanaumiza sana.
Iko hivi

Jana tareh 28/01/2025 mida ya saa mbili usiku mshkaji wangu Mmoja tuliyekutana kwenye harakati za hapa na pale alinicheki tukapata japo Moja baridi Moja moto namaanisha ule mlima mrefu kuliko yote afrika (Kilimanjaro lager)

Basi tukapata vizuri mida ya saa tano sita usiku nikamwaga mshkaji kwamba nikapumzike maana kesho yake ambayo ndo leo tare 29 harakati inabidi ziendelee

Pasina hiyana tukaagana fresh ila mshkaji wangu huyu yeye akahama venue ili aendelee kupata burudani mida ya saa tisa usiku ikabidi aongee na muhudumu wa baa afanye mpango japo apate mlimbwende Mmoja ivi wa kuendelea kumliwaza mpaka asbh itakapo fika ebana muhudu kweli kachukua simu akampigia mlimbwende atokee maeneo maana kuna boss anataka kampani pesa ipo

Dada bila hiyana huyu hapa kafika maeneo baaaana weee

Kumbe mlimbwende ni mke wa jamaa aisee

Asbh jamaa ananipa story hii sikujui nimshauri nini maana Malaya kakutana na Malaya mwenzie
NI KITU AMBACHO HAKIWEZEKANI UMETUNGA
 
Hii inawezekana kabisa kwa maana wote hao ni vipanga na hakuna cha kushauri apo....
 
Mambo vipi Wana jamii....?

Ebana katika jamii tuliyopo kuna mambo huwa yanaumiza sana.
Iko hivi

Jana tareh 28/01/2025 mida ya saa mbili usiku mshkaji wangu Mmoja tuliyekutana kwenye harakati za hapa na pale alinicheki tukapata japo Moja baridi Moja moto namaanisha ule mlima mrefu kuliko yote afrika (Kilimanjaro lager)

Basi tukapata vizuri mida ya saa tano sita usiku nikamwaga mshkaji kwamba nikapumzike maana kesho yake ambayo ndo leo tare 29 harakati inabidi ziendelee

Pasina hiyana tukaagana fresh ila mshkaji wangu huyu yeye akahama venue ili aendelee kupata burudani mida ya saa tisa usiku ikabidi aongee na muhudumu wa baa afanye mpango japo apate mlimbwende Mmoja ivi wa kuendelea kumliwaza mpaka asbh itakapo fika ebana muhudu kweli kachukua simu akampigia mlimbwende atokee maeneo maana kuna boss anataka kampani pesa ipo

Dada bila hiyana huyu hapa kafika maeneo baaaana weee

Kumbe mlimbwende ni mke wa jamaa aisee

Asbh jamaa ananipa story hii sikujui nimshauri nini maana Malaya kakutana na Malaya mwenzie
Chai
 
Back
Top Bottom